Plot4Sale Nauza viwanja viwili, kimoja kipo Mkuranga Pwani na kingine kipo Madale Dar es Salaam

Plot4Sale Nauza viwanja viwili, kimoja kipo Mkuranga Pwani na kingine kipo Madale Dar es Salaam

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Mkuranga:
kiwanja square metre 908

kipo km 6 kutoka kongowe

eneo lilishajengeka sana

bei: 6 million

Ramani yake hii hapa

kiwanja namba 114

IMG-20210730-WA0006.jpg
 
MADALE:

SIZE: square metre 300

bei: 4.5 million

location hio hapo

Screenshot_20210729-201206.png
 
Ndiyo unaingilia hpo msigani kwa wapakizi
Unaingilia kulia kwenda kazaroho siyo

Ova
Ndio mkuu karibu sana
kiwanja ni kizuri sana wataalam wameshapima na kuona unaweza kutoa nyumba ya vyumba vitatu na bado sehem ya parking ikabaki.

Over over
 
Hicho cha madale unapokea kwa installment?
 
Back
Top Bottom