Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Kaza roho chanjo ishakuja😅😅Jina la eneo linatafakarisha. Kazaroho mweeehhh
Ndiyo unaingilia hpo msigani kwa wapakizi
Ndio mkuu karibu sanaNdiyo unaingilia hpo msigani kwa wapakizi
Unaingilia kulia kwenda kazaroho siyo
Ova
Ok safi....Ndio mkuu karibu sana
kiwanja ni kizuri sana wataalam wameshapima na kuona unaweza kutoa nyumba ya vyumba vitatu na bado sehem ya parking ikabaki.
Over over
Kidogo sanaGoba njia nne size 16 kwa 14
View attachment 1874969View attachment 1874970
View attachment 1874971
View attachment 1874972