Nauza Wifi Bulb Camera

Wakuu Camera Bado Zipo hata kwa wanaotaka bei ya jumla
 
Utaratibu ukoje wa malipo na kupokea mzigo
 
Wakuu bado camera zipo, mzigo ni mwingi mnoo
 

Kwaiyo unatumia holder za balbu kawaida? Kama sio unaonganishaje na umeme? Ikikupendeza naomba unioneshe kwa picha.
 
Kamera ni za kisasa zinajizungusha kulia na kushoto ili kupata video kwa uzuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…