Nauza Wifi Bulb Camera

Mzigo wa kamera bado upo wa kutosha wakuu
Kwa wahitaji Naomba tuwasiliane 0718295182
 
Wazee wa kuweka camp maporini nao zinawafaa sana
karibuni
 
Ukiwa na Camera eneo la kazi au nyumbani inakupa uhakika wa kumjua anayekuharibia hata ukiwa mbali
 
nilinunua kabla ila nilipohama ofisi nimeshindwa kuiset...so naitaji fundi wa kunisetia upya!
 
nilinunua kabla ila nilipohama ofisi nimeshindwa kuiset...so naitaji fundi wa kunisetia upya!
Tatizo nn hasa mkuu
Au yule alioset mwanzo ungemtafuta anaweza weka sawa
 
Wakuu mzigo ninao bado nicheki 0718295182
Kama kuna swali lolote kuhusu bidhaa karibu
 
Kama Sina router nawezaje kuona matukio?
 
Kama Sina router nawezaje kuona matukio?
Ishu ni kuiwezesha kamera kupata access ya internet Ili iweze kutuma taarifa ukiwa mbali
So kama una simu unayoweza kuifanya router ni sawa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…