INAUZWA Nauza wine safi ya Dodoma kwa gharama nafuu

INAUZWA Nauza wine safi ya Dodoma kwa gharama nafuu

SOWETO_MAN

Member
Joined
May 4, 2021
Posts
69
Reaction score
32
Habarini za majukumu wakuu!,

Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5

Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)

IMG_20210909_112740.jpg
 
Je inakilevi % ? Au haina na je una vibali husika
 
Je inakilevi % ? Au haina na je una vibali husika
Ndio boss kwasababu fermentation imeshatokea inaenda sawia na uwepo wa alcohol%...kuhusu vibali husika hilo swala lipo kwenye mchakato hii ni kwasababu ya kwamba mm bado ni upcoming manufacturer na ni first priority katika production ijayo nadhani by next year ntaweza kupata vibali kutoka mamlaka husika.
 
  • Ebu jisajili BRELA kwanza uwe na jina la biashara-ni gharama ndogo tu
  • Tafuta kibali -tfda/tbs (mazingira yako ya utengenezaji yanatakiwa yawe safi)
  • Tumia vifungashio vyenye ubora (chupa)- vifungashio ni bei nafuu tu na wauzaji wanapatikana nchini
  • Weka lebo kwenye chupa zako
  • Peleka mzigo wako kwenye maduka ya vileo,supermarket n.k
  • Zungukia hayo maduka kukusanya pesa
 
Shukran sana mr kwa ushauri.[emoji120]
 
Yote kwa yote tuwekee wakala hapa Dar
Huko mbali asee
 
Habarini za majukumu wakuu!,,Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5
Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:-
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash,,na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. [emoji3513] 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)View attachment 1954953View attachment 1954951View attachment 1954952
Nauza package nzuri ya wine ya Lita tano, achana na hiyo package ya waganga wa kienyeji
1632804916471.png
 
Biashara nzuri ni pamoja na kuheshimiana hustles zetu sisi kama vijana...sijapenda ulivyo sema "package ya waganga wa kienyeji".. by the way wauza kwa bei gani na unapatikana wapi?
Huoni package za waganga wa kienyeji wa kimasai wanaopita mtaani?
 
Back
Top Bottom