SOWETO_MAN
Member
- May 4, 2021
- 69
- 32
Napokea pesa baada ya mteja kupokea mzigo kikubwa uaminifuUnapokea pesa baada ya mzigo kufika au unatumiwa pesa ndo utume mzigo?
Ndio boss kwasababu fermentation imeshatokea inaenda sawia na uwepo wa alcohol%...kuhusu vibali husika hilo swala lipo kwenye mchakato hii ni kwasababu ya kwamba mm bado ni upcoming manufacturer na ni first priority katika production ijayo nadhani by next year ntaweza kupata vibali kutoka mamlaka husika.Je inakilevi % ? Au haina na je una vibali husika
Asante kwa feedback!Package yako iboreshe
Ningependa kujua ni eneo lipi?...kuhusu labell ama container yenyewe?Package yako iboreshe
Shukran sana mr kwa ushauri.[emoji120]
- Ebu jisajili BRELA kwanza uwe na jina la biashara-ni gharama ndogo tu
- Tafuta kibali -tfda/tbs (mazingira yako ya utengenezaji yanatakiwa yawe safi)
- Tumia vifungashio vyenye ubora (chupa)- vifungashio ni bei nafuu tu na wauzaji wanapatikana nchini
- Weka lebo kwenye chupa zako
- Peleka mzigo wako kwenye maduka ya vileo,supermarket n.k
- Zungukia hayo maduka kukusanya pesa
Nina ndugu yangu kabisa yupo hapo Dar naweza mtumia kama Wakala pia...kuhusu hilo ondoa shaka kabsa bossYote kwa yote tuwekee wakala hapa Dar
Huko mbali asee
Nashukuru kwa dua broUkimaliza hayo uloyoshauriwa hapo juu wewe ni tajiri kabisa.
Nauza package nzuri ya wine ya Lita tano, achana na hiyo package ya waganga wa kienyejiHabarini za majukumu wakuu!,,Muhusika wa hii account ni mjasiriamali na mkulima mdogo ninae jihusisha na kilimo cha zabibu Dodoma kwa lengo kuu la kutengeneza Mvinyo (Wine) na wine hizo zapatikana katika ujazo wa lita 1, Chupa za 750ml,lita 5
Mgawanyo wa bei husika kwa kila ujazo ni kama ifuatavyo:-
✓Ujazo wa chupa za 750ml ni Sh.6000
✓Ujazo wa lita moja ni Sh.7000
✓Ujazo wa lita 5 ni Sh.35000 tu...(Stock ipo ya KUTOSHA!)
Njia ya malipo ni cash,,na mikoani tunatuma pia
Kwa mawasiliano zaidi. [emoji3513] 0763797102 / 0621599120 (Napatikana Dodoma)View attachment 1954953View attachment 1954951View attachment 1954952
Acha kuharibia watu biashara zao wewe mzee. Si ufungue uzi wako.Nauza package nzuri ya wine ya Lita tano, achana na hiyo package ya waganga wa kienyeji
View attachment 1955484
Biashara nzuri ni pamoja na kuheshimiana hustles zetu sisi kama vijana...sijapenda ulivyo sema "package ya waganga wa kienyeji".. by the way wauza kwa bei gani na unapatikana wapi?Nauza package nzuri ya wine ya Lita tano, achana na hiyo package ya waganga wa kienyeji
View attachment 1955484
Kama ni mstaarabu natumai ata sahihisha alicho kisema!Acha kuharibia watu biashara zao wewe mzee. Si ufungue uzi wako.
Hilo zee nilipenda sifa.Kama ni mstaarabu natumai ata sahihisha alicho kisema!
Huoni package za waganga wa kienyeji wa kimasai wanaopita mtaani?Biashara nzuri ni pamoja na kuheshimiana hustles zetu sisi kama vijana...sijapenda ulivyo sema "package ya waganga wa kienyeji".. by the way wauza kwa bei gani na unapatikana wapi?