INAUZWA Nauza wine safi ya Dodoma kwa gharama nafuu

jitahidi uweke hata lebo mkuu ni muhimu sana
 
Acha kuharibia watu biashara zao wewe mzee. Si ufungue uzi wako.
Hamna namna nimemuharibia biashara yake, nomempa wazo la ku add value kwenye product yake.

Package ni muhimu sana kwenye kukuza soko la bidhaa.
Rejea mfano wa K Vant waliongeza sana mauzo baada ya kubadili packing yao

 
Naomba unifundushe hii process ya kutengeneza wine..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…