Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha.!! Duh!! Mkuu muone huruma mwenzakoUngesema midosho ingependeza zaidi
Mtoa mada ashasema ukiwa na laki na nusu tu unanunua contena kutoka kwake!Hahahahaha.!! Duh!! Mkuu muone huruma mwenzako
Ungesema midosho ingependeza zaidi
Nini maana ya midosho?
Midosho..dah msemo wa longUngesema midosho ingependeza zaidi
Kwa jina naitwa Yusto Msomi
Jina la sanaa natumia Msomi
Kwa heshima na taadhima napenda kuomba kura yako Katika shindano la kupata wasanii watakao tumbuiza katika Hip Hop Press conference itakayo fanyika trh 19/10/2019 Arusha na hatimaye trh 26/10/2019 jijini Dar es salaam
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Bila we siwez kufanikiwa
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Tafadhari bonyeza link Kisha comment utakuwa umenisapport vyakutosha , Asante!!
Inaonekana mjini umekuja na gari la mkaa
Wewe mwenzangu ulikujana Boeing ipi?Hapana mkuu nilikuja na mbio za mwenge
Nyie ndio mnaofanya hip hop idharaulikeKwa jina naitwa Yusto Msomi
Jina la sanaa natumia Msomi
Kwa heshima na taadhima napenda kuomba kura yako Katika shindano la kupata wasanii watakao tumbuiza katika Hip Hop Press conference itakayo fanyika trh 19/10/2019 Arusha na hatimaye trh 26/10/2019 jijini Dar es salaam
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Bila we siwez kufanikiwa
[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Tafadhari bonyeza link Kisha comment utakuwa umenisapport vyakutosha , Asante!!
Watu jamii umu mnajifanya mna mitaji mikubwa sana kiasi kwamba 150 mnaiona ndogoNyie ndio mnaofanya hip hop idharaulike
Ongera ndugu yangu kwa upambanaji wako mi nimekupa salute mnooWatu jamii umu mnajifanya mna mitaji mikubwa sana kiasi kwamba 150 mnaiona ndogo