Bhakusyobhile
Member
- Aug 1, 2018
- 65
- 198
Habari ya leo wana jf wote,..ndugu zangu pindi njaa inapo niuma huwa natamani sana kula chakula,lakini ninapo anza kula tu basi huwa nakichukia chakula hapo hapo yani inatokea hali flani chakula kina nikifu ghafla.
Hii ni kwa chakula cha aina yoyote ile na mapishi tofautitofauti .natamani sana kula lakini nashindwa.! nimeenda kwa daktari kupima vipimo vyote vya tumbo na mambo ya njaa, kulionekana hakuna tatizo! hata hivyo nilipima na magonjwa mengine kama kisukari,figo,malaria havikuonekana.
Lakini daktari alisema tatizo hili linaweza pia kusabibishwa na kutopata usingizi wa kutosha,so akasema nifanye mazoezi sana na nilale angalau masaa 6-8 kwa siku.haya yote nimeyazingatia lakini hakuna mabadiliko.!!mlio wahi kupatwa na tatizo kama hili mlifanyaje kuondoa hali hii? jaman nina miezi 8 chakula hakipandi,kitu ninachoweza kula kwa wingi tikiti maji tu,pia maji nakunywa sana.lakini vyakula vingine navilazimisha tu.