Naviomba Vyuo Vikuu vya Tanzania vije na huu Utaratibu kwa Members wa JamiiForums

I was been there ndiyo Kiingereza cha wapi hiki Boya Mmoja Wewe? Hi ni Grammar ya wapi? Umemuaibisha kweli Mwalimu wako wa Kiingereza.

Halafu nakushangaa na Wewe Dr Matola PhD hujaiona hii Broken English iliyotukuka ya Jamaa. Mimi nilidhani asiyejua vyema Kiingereza hapa JamiiForums ni LIKUD tu peke yake kumbe wapo Wengi tu wanaofanana nae.

Eti I was been there hovyo kabisa. Kwani mkiandika tu kwa Kiswahili kama Mimi GENTAMIYCINE bado hantajulikana kuwa mmesoma na mna Akili?

Nikiwadharau hapa JF mnaninunia.

Yani hata wewe uliesomea Mugetta Education Center una balls za kumwambia mtu hajui kiingereza?
 
Niliomba Mimi na Wewe tuwe tunajibizana kwa Kiingereza tupu hapa JamiiForums mbona hujanijibu juu ya hilo ili nikutoe Jasho na Kiingereza chako Uchwara cha Darasa la Tatu huko Kijijini Kwenu?

Haya naomba sasa uturekebishie hapo kwa huyo Boya Mwenzako aliyeandika I was been there na uandiike jinsi ambavyo ingetakiwa sawa?
 
ndo maana kila siku nakwambiaga wewe ni mwalimu wa tuition centre. Umejaa mwenyewe
 
Mbona hutaki Kushindana nami Kubishana ( Kujibizana ) kwa Kiingereza Pimbi na Mpumbavu Mmoja Wewe ili Uumbuke kwa Kujifanya Mjanja wakati hujui Kiingereza na unachokijua ni cha Darasa la Tatu tu?
 
What is English?
 
Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania.

Mfano hivi GENTAMYCINE ambaye hapa JamiiForums tu ana Utajiri wa Followers 166 na Mabandiko yake yanasomwa na Mheshimiwa Rais Samia, Wakuu wa Vitengo Nyeti nchini, Wanataaluma, Viongozi mbalimbali, Mabalozi kama Dk. Wilbroad Slaa ambaye alinifagilia TBC1 kuwa I'm his Fan, Wanamichezo, Wanahabari, Vijana, Wasanii, Wachezaji wa Mpira akina Jonas Mkude na Said Ndemla niliyewafundisha Mpira / Fabo / Ndiki Mwenyewe, 75% ya Watu wa TISS na 60% ya Watu wa JWTZ ( hasa CMI ), Makomandoo wakiongozwa na akina Walter na Mhaiki kule 92KJ Sanga Sanga Morogoro, Mademu Warembo JamiiForums, Watu wa Kawaida ila wenye Upeo na bila kuwasahau Mapopoma wakiongozwa na ngeti hivi nikitunukiwa na Moja ya Chuo Kikuu Udaktari wa Falsafa ( PhD ) au Uprofesa ( ambao ndiyo nauona ni Hadhi yangu ) kuna / kutakuwa na Kosa?

Nimejitolea tu Mfano ila naamini wako JamiiForums Members Wengi hapa wenye Michango mikubwa ya Kiuwasilishaji ambao nadhani Uongozi wa JamiiForums na Vyuo Vikuu husika vingekaa na kuangalia namna ya Kuwatunuku ili Kuwaheshimisha pamoja na kwamba tunatumia anonymous identities hapa.

Ni Ombi tu na Maamuzi ni Kwenu Ok?
Mwezi mchanga

Kumekucha, kumekucha
 
𝐄𝐥𝐢𝐦𝐮𝐲𝐚𝐦𝐚𝐤𝐚𝐫𝐚𝐭𝐚𝐬𝐢𝐧𝐢𝐮𝐬𝐞𝐧𝐠𝐞𝐦𝐭𝐮𝐩𝐮
 
𝐌𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐨 𝐡𝐚𝐬𝐢 𝐚𝐮 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐲𝐚
 
We matusi yako yatadhalilisha PhD. Yaani kwako labda certificate, tena ile basic. Maana mwamba ukichafukwa unateleza matusi ya moshi wa kuni mbichi. Unasambazaga mitusi ya ukoo mzima..!!
 
Vije na Utaratibu Maalum wa Kuwatunuku JamiiForums Members na Honoured Doctorates ( PhD ) na hata Uprofesa wa Heshima kutokana na Michango yao mikubwa, ya maana, yenye Tija, Maendeleo na Chachu ya Mabadiliko kwa Ustawi wa Kijamii, Maeneo na Masuala Mtambuka ya ndani na nje ya Tanzania.

Mfano hivi GENTAMYCINE ambaye hapa JamiiForums tu ana Utajiri wa Followers 166 na Mabandiko yake yanasomwa na Mheshimiwa Rais Samia, Wakuu wa Vitengo Nyeti nchini, Wanataaluma, Viongozi mbalimbali, Mabalozi kama Dk. Wilbroad Slaa ambaye alinifagilia TBC1 kuwa I'm his Fan, Wanamichezo, Wanahabari, Vijana, Wasanii, Wachezaji wa Mpira akina Jonas Mkude na Said Ndemla niliyewafundisha Mpira / Fabo / Ndiki Mwenyewe, 75% ya Watu wa TISS na 60% ya Watu wa JWTZ ( hasa CMI ), Makomandoo wakiongozwa na akina Walter na Mhaiki kule 92KJ Sanga Sanga Morogoro, Mademu Warembo JamiiForums, Watu wa Kawaida ila wenye Upeo na bila kuwasahau Mapopoma wakiongozwa na ngeti hivi nikitunukiwa na Moja ya Chuo Kikuu Udaktari wa Falsafa ( PhD ) au Uprofesa ( ambao ndiyo nauona ni Hadhi yangu ) kuna / kutakuwa na Kosa?

Nimejitolea tu Mfano ila naamini wako JamiiForums Members Wengi hapa wenye Michango mikubwa ya Kiuwasilishaji ambao nadhani Uongozi wa JamiiForums na Vyuo Vikuu husika vingekaa na kuangalia namna ya Kuwatunuku ili Kuwaheshimisha pamoja na kwamba tunatumia anonymous identities hapa.

Ni Ombi tu na Maamuzi ni Kwenu Ok?
naonga mkono hoja kwa maana ya kwamba, kwanza JAMII FORUM itunukiwe tunzo ya heshima yenye hadhi ya miongoni mwa majukwaa bora na huru zaidi ya habari duniani.

Halafu baada ya hapo sasa members kama hao ulopendekeza, kwakweli waanze kutambuliwa na kutunukiwa PHDs za heshima kwa michango yao muhimu sana waliowahi kuitoa humu jukwaani kwa ustawi wa Taifa.
 
Back
Top Bottom