Habari za wakati huu,
Nategemea kuvuna matikiti yangu Jumamosi hii tarehe 7, naomba kama kuna muhitaji / Dalali au anayeweza kunipa connection ya kuuza naomba saana msaada wenu.
Nimelima mkulanga, nategemea kuvuna 3.5tons na zaidi
Mawasiliano 0658 644485