GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kiukweli kama Mwanaume ambaye Kiafya kila siku lazima tu Mnara wangu wa Babeli ( namaanisha Uume wangu au Mkuyenge ) huwa unasimama asubuhi kunidhihirishia kwamba nipo vyema Kiurijali huwa natokea kuvutiwa mno Kibaiolojia ( namaanisha Kimapenzi ) na Wanawake Warembo kadha wa kadha kutokana na mvuto na urembo wao uliotukuka ila sijui ni kwanini binafsi huwa najitahidi sana Kumpenda Mwanadada Kajala wa BIKO Sports lakini Moyo wangu na Roho yangu huwa havinipi ushirikiano ( namaanisha vinakataa )
Je tatizo ni Moyo wangu tu na hii Roho yangu au labda huyu Mwanadada hajaumbwa na kubarikiwa Kuvutia Wanamume ' tuliotukuka ' Kibaiolojia kama Sisi? Na bahati mbaya mno nina tatizo moja au sijui niseme uzuri mmoja kwamba nikikipenda Kitu huwa ni Kizuri kweli na nisipokipenda Kitu basi jua huwa kinakuwa na matatizo.
Kwa mfano.....
Naupenda Mtandao wa JamiiForums na kweli ni Mtandao bora si tu duniani bali hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu na hata huko nilikokuwa kwa takribani miezi miwili na sikuwepo humu niliuombea mno huu Mtandao kwa Maulana na utazidi kuwepo na kudumu milele bila shida na matatizo yoyote
Naipenda sana Bendi yangu Kipenzi na Bora ya Wenge Musica BCBG
Naipenda sana Klabu yangu ya Simba na wote mnajua kwamba inafanya vizuri japokuwa Kichuya na Mkude juzi ' wametutibua ' wana Simba na ' watatukoma ' kwa bakora tutakazowachapa
Nazipenda sana nchi za Tanzania, Uganda na Rwanda na hasa Marais wake na kweli hizi nchi sasa ndizo zenye Maendeleo chanya Kitaifa na Kimataifa
Nawapenda sana akina Wema Sepetu, Jokate Mwogelo na Hamisa Mobeto na hakuna Ubishi hawa ndiyo Wanawake Warembo / Wazuri kuliko Wanawake wote waliopo nchini Tanzania hadi wale Wanawake wa Kitanzania waishio nje ya nchi na ng'ambo
Nampenda sana Mchekeshaji Brother K ( Tajiri wa Kigoma ) na mpaka sasa ukiondoa tu Mzee Majuto sijaona wa kushindana na Brother K kwa Uchekeshaji / Ukomedi
Nakipenda sana Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) Mwanza na Matawi yake yote nchini kuliko Vyuo Vingine vyote na ni ukweli usiopingika kwamba SAUT ndiyo Chuo Kikuu pekee kinachotoa ' cream ' bora kabisa ya Wanafunzi Vipanga ( namaanisha Werevu ) na very Critical in Thinking kuliko Vyuo Vikuu vingine vilivyobaki ambavyo huwa vinajitahidi kama siyo kujikongoja
Ila sijui ni kwanini huyu Mwanadada Kajala hakubaliki kabisa ndani ya Moyo wangu na Roho yangu japo nasikia kuna Watu kila uchao huwa wanamsifu / wanamfagilia lakini Mimi mwenye Moyo na Roho yenye TBS ya uhakika ambayo huwa haibahatishi simkubali
Ewe Dada Kajala kwanini haumo kabisa ' akilini ' mwa GENTAMYCINE?
Nawasilisha.