Navutiwa na Wanawake wengi ila sijui kwanini Kajala haingii Moyoni na Rohoni mwangu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kiukweli kama Mwanaume ambaye Kiafya kila siku lazima tu Mnara wangu wa Babeli ( namaanisha Uume wangu au Mkuyenge ) huwa unasimama asubuhi kunidhihirishia kwamba nipo vyema Kiurijali huwa natokea kuvutiwa mno Kibaiolojia ( namaanisha Kimapenzi ) na Wanawake Warembo kadha wa kadha kutokana na mvuto na urembo wao uliotukuka ila sijui ni kwanini binafsi huwa najitahidi sana Kumpenda Mwanadada Kajala wa BIKO Sports lakini Moyo wangu na Roho yangu huwa havinipi ushirikiano ( namaanisha vinakataa )

Je tatizo ni Moyo wangu tu na hii Roho yangu au labda huyu Mwanadada hajaumbwa na kubarikiwa Kuvutia Wanamume ' tuliotukuka ' Kibaiolojia kama Sisi? Na bahati mbaya mno nina tatizo moja au sijui niseme uzuri mmoja kwamba nikikipenda Kitu huwa ni Kizuri kweli na nisipokipenda Kitu basi jua huwa kinakuwa na matatizo.

Kwa mfano.....

Naupenda Mtandao wa JamiiForums na kweli ni Mtandao bora si tu duniani bali hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu na hata huko nilikokuwa kwa takribani miezi miwili na sikuwepo humu niliuombea mno huu Mtandao kwa Maulana na utazidi kuwepo na kudumu milele bila shida na matatizo yoyote

Naipenda sana Bendi yangu Kipenzi na Bora ya Wenge Musica BCBG

Naipenda sana Klabu yangu ya Simba na wote mnajua kwamba inafanya vizuri japokuwa Kichuya na Mkude juzi ' wametutibua ' wana Simba na ' watatukoma ' kwa bakora tutakazowachapa

Nazipenda sana nchi za Tanzania, Uganda na Rwanda na hasa Marais wake na kweli hizi nchi sasa ndizo zenye Maendeleo chanya Kitaifa na Kimataifa

Nawapenda sana akina Wema Sepetu, Jokate Mwogelo na Hamisa Mobeto na hakuna Ubishi hawa ndiyo Wanawake Warembo / Wazuri kuliko Wanawake wote waliopo nchini Tanzania hadi wale Wanawake wa Kitanzania waishio nje ya nchi na ng'ambo

Nampenda sana Mchekeshaji Brother K ( Tajiri wa Kigoma ) na mpaka sasa ukiondoa tu Mzee Majuto sijaona wa kushindana na Brother K kwa Uchekeshaji / Ukomedi

Nakipenda sana Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) Mwanza na Matawi yake yote nchini kuliko Vyuo Vingine vyote na ni ukweli usiopingika kwamba SAUT ndiyo Chuo Kikuu pekee kinachotoa ' cream ' bora kabisa ya Wanafunzi Vipanga ( namaanisha Werevu ) na very Critical in Thinking kuliko Vyuo Vikuu vingine vilivyobaki ambavyo huwa vinajitahidi kama siyo kujikongoja

Ila sijui ni kwanini huyu Mwanadada Kajala hakubaliki kabisa ndani ya Moyo wangu na Roho yangu japo nasikia kuna Watu kila uchao huwa wanamsifu / wanamfagilia lakini Mimi mwenye Moyo na Roho yenye TBS ya uhakika ambayo huwa haibahatishi simkubali

Ewe Dada Kajala kwanini haumo kabisa ' akilini ' mwa GENTAMYCINE?

Nawasilisha.
 
nae kwake Kajala,you are not her type

Dada Rebecca nitake radhi upesi tafadhali. Dada yangu hili ' dongo ' lako limeniingia vilivyo we acha tu. Na kwa dalili hii tu uliyoanza nayo Wewe najua leo nitapigwa ' madongo ' hapa hadi nijute hakyanani.
 
Hata yeye Hakujui wala hakupendi.

Hukuwa nasi kwa ID hii ila kiroho tulikuwa pamoja kwa Id ileee

Sasa kama hadi napendwa na akina Jennifer Lopez na Beyonce Knowles Mimi huyo Kajala wenu wa nini? Kwanza najua Kajala ikitokea tu akaniona anaweza akanilazimisha afunge Ndoa na Mimi siku hiyo hiyo.

Leo Kazi ninayo hakyanani!
 
Kiukweli kama Mwanaume ambaye Kiafya kila siku lazima tu Mnara wangu wa Babeli ( namaanisha Uume wangu au Mkuyenge ) huwa unasimama asubuhi kunidhihirishia kwamba nipo vyema Kiurijali huwa natokea kuvutiwa mno Kibaiolojia ( namaanisha Kimapenzi ) na Wanawake Warembo kadha wa kadha kutokana na mvuto na urembo wao uliotukuka ila sijui ni kwanini binafsi huwa najitahidi sana Kumpenda Mwanadada Kajala wa BIKO Sports lakini Moyo wangu na Roho yangu huwa havinipi ushirikiano ( namaanisha vinakataa )

Je tatizo ni Moyo wangu tu na hii Roho yangu au labda huyu Mwanadada hajaumbwa na kubarikiwa Kuvutia Wanamume ' tuliotukuka ' Kibaiolojia kama Sisi? Na bahati mbaya mno nina tatizo moja au sijui niseme uzuri mmoja kwamba nikikipenda Kitu huwa ni Kizuri kweli na nisipokipenda Kitu basi jua huwa kinakuwa na matatizo.

Kwa mfano.....

Naupenda Mtandao wa JamiiForums na kweli ni Mtandao bora si tu duniani bali hata Mbinguni kwa Mwenyezi Mungu na hata huko nilikokuwa kwa takribani miezi miwili na sikuwepo humu niliuombea mno huu Mtandao kwa Maulana na utazidi kuwepo na kudumu milele bila shida na matatizo yoyote

Naipenda sana Bendi yangu Kipenzi na Bora ya Wenge Musica BCBG

Naipenda sana Klabu yangu ya Simba na wote mnajua kwamba inafanya vizuri japokuwa Kichuya na Mkude juzi ' wametutibua ' wana Simba na ' watatukoma ' kwa bakora tutakazowachapa

Nazipenda sana nchi za Tanzania, Uganda na Rwanda na hasa Marais wake na kweli hizi nchi sasa ndizo zenye Maendeleo chanya Kitaifa na Kimataifa

Nawapenda sana akina Wema Sepetu, Jokate Mwogelo na Hamisa Mobeto na hakuna Ubishi hawa ndiyo Wanawake Warembo / Wazuri kuliko Wanawake wote waliopo nchini Tanzania hadi wale Wanawake wa Kitanzania waishio nje ya nchi na ng'ambo

Nampenda sana Mchekeshaji Brother K ( Tajiri wa Kigoma ) na mpaka sasa ukiondoa tu Mzee Majuto sijaona wa kushindana na Brother K kwa Uchekeshaji / Ukomedi

Nakipenda sana Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino ( SAUT ) Mwanza na Matawi yake yote nchini kuliko Vyuo Vingine vyote na ni ukweli usiopingika kwamba SAUT ndiyo Chuo Kikuu pekee kinachotoa ' cream ' bora kabisa ya Wanafunzi Vipanga ( namaanisha Werevu ) na very Critical in Thinking kuliko Vyuo Vikuu vingine vilivyobaki ambavyo huwa vinajitahidi kama siyo kujikongoja

Ila sijui ni kwanini huyu Mwanadada Kajala hakubaliki kabisa ndani ya Moyo wangu na Roho yangu japo nasikia kuna Watu kila uchao huwa wanamsifu / wanamfagilia lakini Mimi mwenye Moyo na Roho yenye TBS ya uhakika ambayo huwa haibahatishi simkubali

Ewe Dada Kajala kwanini haumo kabisa ' akilini ' mwa GENTAMYCINE?

Nawasilisha.
Fortunately kwa Kajala, you aren't the only man available on Earth mpaka ajutie kutopendwa na wewe! Hoping wapo wanaume wengi pengine wenye mvuto kuliko wewe na sifa zingine zinazowavutia wanawake wameshajigonga kwake na kawatolea nje. Our mother Earth offers so any options...
 
Sasa kama hadi napendwa na akina Jennifer Lopez na Beyonce Knowles Mimi huyo Kajala wenu wa nini? Kwanza najua Kajala ikitokea tu akaniona anaweza akanilazimisha afunge Ndoa na Mimi siku hiyo hiyo.

Leo Kazi ninayo hakyanani!
Anaweza kukubaka kabisa!
Ila nasikia anacharanga guitar vizuri sana...la Daliki moko.
 
Ni pale upokitamani kitu afu kipo nje ya uwezo wako au ulijaribu kikakupiga chini lazma ujikute
Unaanza kukichukia automatically kujipa moyo

Yule binti anagushep ila mvuto si sana nahis thus y
 
Fortunately kwa Kajala, you aren't the only man available on Earth mpaka ajutie kutopendwa na wewe! Hoping wapo wanaume wengi pengine wenye mvuto kuliko wewe na sifa zingine zinazowavutia wanawake wameshajigonga kwake na kawatolea nje. Our mother Earth offers so any options...
Kajala achana nae huyo mi binafsi hayo ma nyonga yako ndo udhaifu wangu wallah.. mixer hayo mabomu kifuani ndo kaaabisa siskiiiii, hata nikauze ile nyumba ya mzazi
 
Back
Top Bottom