Navutiwa na Wanawake wengi ila sijui kwanini Kajala haingii Moyoni na Rohoni mwangu

Gentamycine is back. Welcome brother uchangamshe jukwaa. Nilimiss misemo yako "iliyotukuka" na mwandiko wako unaojitanabaisha kabisa. Najua ulikuwa pia unamsoma kimyakimya mtemi Nalimi Kisandu, huko uliko.
 
Hiyo inatokea naturally mkuu,bila kisa kutomkubali mtu fulani...the same na mimi yaani katika members woote wa JF wewe sijawahi kukubali kabisa mkuu sijui kwanini...licha ya watu wengi humu kukufagilia lakini mimi wala...kila nikijifosi nikuelewe nafc inagoma kbs yani automatically.hata kama utaandika nondo humu jf mie kwangu naona pumba tu.

Samahani lkn kama ntakukwaza maana,nami nimeeleza ya moyoni na rohoni km ulivojipambanua kwa Kajala..no offence.
 
Mzee wa gitaa la Dally kimoko elekeza nguvu kwa binti yake maana kajala tayari ni mzee

Au ndo ngombe hazeeki maini?
 

Wala usihofu Mkuu Kibinadamu una haki zote za Kumchukia tu Binadamu mwenzio na wala usiogope labda sijui ukisema unanichukia au hunipendi au hunikubali nitakasirika na pengine kukutukana kwani GENTAMYCINE yule wa 2013 hadi 2017 siyo huyu wa sasa wa 2018. Mwaka huu nimeazimia nitakuwa naongozwa zaidi na Diplomasia katika Mawasiliano yetu na Mimi nimejiteua mwenyewe kuwa Kiranja Mkuu na Mpatanishi wa wale Members wote wanaogombana na kutukanana humu Jamvini na nataka mwaka huu wa 2018 JamiiForums isiwe sehemu ya matusi bali iwe sehemu ya Watu kupata madini ya akili / upeo zaidi ili yaweze kutusaidia kuelimisha na kustawisha Jamii zetu huku mitaani ambazo Kiukweli nyingi sana zinahitaji haya maarifa yetu Sisi Members wa JF ili nazo zipige hatua za Kimaendeleo.
 
Vipi Hapo Mtendee Bar.Bado hipo?

Siku hizi umeacha kuvuta ile Bangi yetu ya Tunduma na sasa umehamia ya Longido nini Mkuu mbona hueleweki na kama vile tayari kuna ' Nyaya ' fulani katika mbichwa wako huo mkubwa kama Matairi ya Gari za Migodini zimeachana njia panda ya Kigogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…