Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23]ila kajala kwa kupiga jeki
mbaya zaidi anatumia jeki ya scania kuinulia passo
[emoji23] [emoji126] [emoji125] [emoji125]Used sana
Anaweza kukubaka kabisa!
Ila nasikia anacharanga guitar vizuri sana...la Daliki moko.
Vipi Hapo Mtendee Bar.Bado hipo?Ulinipokea Airport?
Ina maana marinda yake atayaweka rehani?Anaweza kukubaka kabisa!
Ila nasikia anacharanga guitar vizuri sana...la Daliki moko.
Hiyo inatokea naturally mkuu,bila kisa kutomkubali mtu fulani...the same na mimi yaani katika members woote wa JF wewe sijawahi kukubali kabisa mkuu sijui kwanini...licha ya watu wengi humu kukufagilia lakini mimi wala...kila nikijifosi nikuelewe nafc inagoma kbs yani automatically.hata kama utaandika nondo humu jf mie kwangu naona pumba tu.
Samahani lkn kama ntakukwaza maana,nami nimeeleza ya moyoni na rohoni km ulivojipambanua kwa Kajala..no offence.
Vipi Hapo Mtendee Bar.Bado hipo?