Navutiwa sana na nyimbo za Mwinjuma Muumini. Nisaidieni kunitajia baadhi ya nyimbo alizoimba nizitafute nisikilize

Navutiwa sana na nyimbo za Mwinjuma Muumini. Nisaidieni kunitajia baadhi ya nyimbo alizoimba nizitafute nisikilize

Paploman

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2019
Posts
1,759
Reaction score
3,452
Wakuu habari zenu.

Wale wapenzi wa music wa dansi naombeni mnitajie nyimbo za huyu mwamba nizipakue mtandaoni tayari kwa kuzisikiliza.

Shukurani kwa wote mtakaoonesha ushirikiano.
 
Kuna watu mnabehave kama mmetoka jela au mlikuwa kwenye comma kwa muda mrefu.

Huyo Muumin nyimbo zake hata yeye ameshazisahau.
 
1. Mgumba
2. Kilio cha yatima
3. Ndugu lawama
4. Mapenzi yanaua
5. Tunda Special
6. Maisha kitendawili.
 
1. Mgumba
2. Kilio cha yatima
3. Ndugu lawama....
Kuna ule wimbo wa muumini " Anameremeta, mwinjuma muumini anameremeta" baadhi ya mistari katika huo wimbo...inaitwaje hii?

Na nyingine " Kule bagamoyo kule, kule bagamoyo kule. Kuna madege meupe" inaitwaje hii pia.
 
Kisingo cha mpingo
Kiu ya mapezi
Zawadi ya watanzania
Mgumba 1&2
gold album
 
Zaidi ya kupiga piga kelele na kulia lia hakunaga cha maana anachoimba
 
Kuna ule wimbo wa muumini " Anameremeta, mwinjuma muumini anameremeta" baadhi ya mistari katika huo wimbo...inaitwaje hii?

Na nyingine " Kule bagamoyo kule, kule bagamoyo kule. Kuna madege meupe" inaitwaje hii pia.
Nami pia nautafta huu wimbo
 
Back
Top Bottom