Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe huyo alievimbishwa mdomo na nyuki..🤣🤣 jinga sana Yule jamaa..😂Punde si punde nyuki wakanivamia [emoji23][emoji23][emoji23]
Weka picha tuoneKun stretch marks ukiziona UNAOGOPA..
[emoji23][emoji23]Kumbe huyo alievimbishwa mdomo na nyuki..[emoji1787][emoji1787] jinga sana Yule jamaa..[emoji23]
We ulitakaje?Sa itakuwaje CreditAnalyst
Kuna namna hapa, kwani uko wapiWe ulitakaje?
Ulipo nipo.Kuna namna hapa, kwani uko wapi
[emoji28][emoji125]noma Sana aiseeView attachment 1659137
Ugonjwa wa wengi ule mkuu..[emoji3][emoji3] kendrick naye zinamvutia
Yote kwa yote ajue kusafisha kwa bibiStretch marks ziwe hivi bhana[emoji173]View attachment 1658262
Sent from my TECNO WX3P using JamiiForums mobile app
Yote kwa yote ajue kusafisha kwa bibi
Sana[emoji106]Mimi napenda wanawake wenye vinyweleo kwenye miili yao
😆Kweli ni rahisi kwa ngamia kupita kwenye tundu la sindano lkn sio Wana jf..😂
Ndo huyo huyo bhn 😁Katika moja mbili tatu ya aina za wanawake niliokutana nao kimwili, kiukweli huwa navutiwa mno na wanawake wenye michirizi ya kutanuka, kizungu wanaiita “stretch marks”.
Sio mabonge, wengine ni ma model kabisa wanakuwa nazo.
Navutiwa zaidi nikiziona kwenye maeneo ya ma.ta.cal* aisee si mchezo!
Mwanzoni mwa mwezi huu nimepata kasichana kamoja kakali cha chuo, kameenda hewani halafu ana kashape ka wastani.. siku niliyokuja kupinduka kwenye 6-kwa-5 namkuta anayo hiyo mistari pendwa! Bwaana wee!![emoji2][emoji2]
Mbona alielewa show!
(Attachment: Mfano wa picha, sio huyo wakuu)
View attachment 1658256
Tujuzane wakulungwa wenzangu, nyie mnaelewa nini?