Navy Kenzo: Game ft. Vanessa Mdee

Navy Kenzo: Game ft. Vanessa Mdee

hii ni HIT song.. hands down
 
  • Thanks
Reactions: amu
wimbo mzuri sana sema beat kama amesample danielle wine~patorankingfire
 
Nafurahi kuwa shabiki wao toka day one na kina pah one Ghetto nimewakubali.....
Nawapenda sana
 
Aiseee hiki kitu kimetoka Tz kweli? Awwwww am proud ohhhhhh. Congratulation Nahreel, Haika & Vanessa. Hivi ndivyo vitu tunapendaga!
 
Dah nimezeeka!!! Maana naona huyo dada anataka awe kama Gwen Stefani,,,
 
Hawa nao wakipata connection tutawaona inteneshno
 
Back
Top Bottom