Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

Video nzuri ila wimbo huu nikilinganisha na Kamatia Chini, huu unasubiri.

BTW huwa nawaza Nahreel inakuwaje anapokuwa location na videm vikali huku Aika yuko pembeni yake aisee.

Maana ile shepi siisomi.
 
Hujaielewa au lugha gongana mkuu?
Navy kenzo market yao wanalenga nje zaidi
Mkuu ni mbovu... vdeo ndo wameharibu. Fujo tu. Em Tizama 'game' then linganisha na hii. wamerudi nyuma some steps.
 
Mkuu ni mbovu... vdeo ndo wameharibu. Fujo tu. Em Tizama 'game' then linganisha na hii. wamerudi nyuma some steps.
Hii nyimbo ni type za kina majar lazar au david guiter wamechanganya na dancehall kule nanjilinji au songea hawawezi kuwaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…