Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2 chafu poziNgoma kali sana....mpaka sasa tunangoma mbili kali za kufunga mwaka...1@darasa na hu ni namba mbili...
Mkuu ni mbovu... vdeo ndo wameharibu. Fujo tu. Em Tizama 'game' then linganisha na hii. wamerudi nyuma some steps.Hujaielewa au lugha gongana mkuu?
Navy kenzo market yao wanalenga nje zaidi
Hahahaha...Si kosa lako mkuu...Si wote wenye kukijua Kikristo....Pole lakini..Tusubiri tuone. ila mimi binafsi sijauelewa.
Hahahaha...Si kosa lako mkuu...Si wote wenyekijua Kikristo....Pole lakini..
Mkuu ni mbovu... vdeo ndo wameharibu. Fujo tu. Em Tizama 'game' then linganisha na hii. wamerudi nyuma some steps.
ha ha haahaaa.... sawa.Hii nyimbo ni type za kina majar lazar au david guiter wamechanganya na dancehall kule nanjilinji au songea hawawezi kuwaelewa