Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

Ngoja niicheki kwanza, nitarejea
==========================

Oh my Gawwwwwd!Bonge la kideo,bonge la ngoma.
Binafsi kwangu hii ni video ya kufungia mwaka.
Nimeikubali sana...
Zile dance sio za kitoto,mavazi kila kitu on point.
Hongereni Navy Kenzo,kazi nzuri.

BTW;Haika this time nimekuelewa kwenye mavazi,umejitahidi kuliko videos nyingine zote.
Hasa kipensi kile....soooo [emoji8] [emoji8] [emoji8]

[emoji444] I feel good Yeyeeeeeah [emoji444]
 
Video nzuri ila wimbo huu nikilinganisha na Kamatia Chini, huu unasubiri.

BTW huwa nawaza Nahreel inakuwaje anapokuwa location na videm vikali huku Aika yuko pembeni yake aisee.

Maana ile shepi siisomi.

Mwanaume wa kweli haangalii shape kinachomatter unampenda na mwanamke anajielewa # Aika mchakarikaji hayo ya shape mchie idrisa
 
Mwanaume wa kweli haangalii shape kinachomatter unampenda na mwanamke anajielewa # Aika mchakarikaji hayo ya shape mchie idrisa

We ni mwanamke mkuu, akili ya wanaume waachie wanaume.

BTW sikuwa serious sana.
 
Hii nyimbo ni type za kina majar lazar au david guiter wamechanganya na dancehall kule nanjilinji au songea hawawezi kuwaelewa
Ngoma nzuri haihitaj kuelewa kinachoimbwa mkuu.
Mziki hauna utaifa wala lugha.
Ila nawakubari hawa navykenzo kudos
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nifah bhana
 
Ngoma nzuri haihitaj kuelewa kinachoimbwa mkuu.
Mziki hauna utaifa wala lugha.
Ila nawakubari hawa navykenzo kudos
Si ndio hapo sasa ,ukikuta mbongo anavyoimba Kona ya Mafikizolo utafikiria ni mzulu ..mziki mzuri sio lugha

Bonge moja ya video sema kama sijawaelewa kwenye beat ya wimbo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…