Henry Robert
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 104
- 39
Na huo ndio mziki biasharaHujaielewa au lugha gongana mkuu?
Navy kenzo market yao wanalenga nje zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na huo ndio mziki biasharaHujaielewa au lugha gongana mkuu?
Navy kenzo market yao wanalenga nje zaidi
HahahaHii ngoma wangeitoa ndugu zetu wa madale mjini pasingotosha aiseee....
Iko bomba sanaNgoja niicheki kwanza, nitarejea
Video nzuri ila wimbo huu nikilinganisha na Kamatia Chini, huu unasubiri.
BTW huwa nawaza Nahreel inakuwaje anapokuwa location na videm vikali huku Aika yuko pembeni yake aisee.
Maana ile shepi siisomi.
Nimekielewa sana kichupa, ila verse ya kwanza ya Nahreel kama namsikia patoranking hivii..
Mwanaume wa kweli haangalii shape kinachomatter unampenda na mwanamke anajielewa # Aika mchakarikaji hayo ya shape mchie idrisa
Hapo sawaNgoma kali sana....mpaka sasa tunangoma mbili kali za kufunga mwaka...1@darasa na hu ni namba mbili...
Ngoma nzuri haihitaj kuelewa kinachoimbwa mkuu.Hii nyimbo ni type za kina majar lazar au david guiter wamechanganya na dancehall kule nanjilinji au songea hawawezi kuwaelewa
Sure! Si kwa mauno hayo Aika du!Hujaielewa au lugha gongana mkuu?
Navy kenzo market yao wanalenga nje zaidi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] nifah bhanaNgoja niicheki kwanza, nitarejea
==========================
Oh my Gawwwwwd!Bonge la kideo,bonge la ngoma.
Binafsi kwangu hii ni video ya kufungia mwaka.
Nimeikubali sana...
Zile dance sio za kitoto,mavazi kila kitu on point.
Hongereni Navy Kenzo,kazi nzuri.
BTW;Haika this time nimekuelewa kwenye mavazi,umejitahidi kuliko videos nyingine zote.
Hasa kipensi kile....soooo [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji444] I feel good Yeyeeeeeah [emoji444]
Si ndio hapo sasa ,ukikuta mbongo anavyoimba Kona ya Mafikizolo utafikiria ni mzulu ..mziki mzuri sio lughaNgoma nzuri haihitaj kuelewa kinachoimbwa mkuu.
Mziki hauna utaifa wala lugha.
Ila nawakubari hawa navykenzo kudos