Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

Mashabiki wa madale huu wimbo hawatauelewa coZ wamezoea nyimbo za za matusi sasa huku level zingne tena na hicho kimombo mbona kokoro yenu ishazimwa tayari !!!
 
Inawezekana itakuwa nzuri ikizoeleka masikioni pangu ila kwa leo bado sijaisoma vizuri. Anyway, Navy Kenzo wapunguze uzungu kama wanataka kuliwin vizuri soko la bongo. Kamatia chini ilikuwa na kizungu ila kilichofanya ibambe ni chorus na beat kali.
Wala hawaitaki bongo yenu iliyojaa unafki na ndo maana hawakuanzia huku
 
Wapenzi wa ngololo hapa hawatamuelewa. Maana mnapenda takataka kama wanjera nk nigeria singing style copy ila hii ukituleta wazee mitaa ya Kentucky lazima ule bata mpk asbh. Bravo Navykenzo
Hahhaa bravo to you nigga
 
Fanya kazi weka mziki
Hawa nareal wako neutro kwenye kazi
Wanaacha watu mziki uwasukume
 
Kamatia chini kwangu mimi ndo songi la ukweli miaka 100
 
mziki sijauelewa
navy kenzo uzungu mwingi mpaka wanaharibu..
beat baya, waimbaji wanaimba imba tu kama shangwe na fiesta..
wameniangusha sana sijaelewa video ,mpaka audio
mimi binafsi lakini
 
Nani kasema ili usikike nje uimbe kiingereza mbna mziki wa mondi unapenya kuliko wa hao navy na anaimba kiswahili sometimes we have to treasure what is ours not their you feel me
 
Kiukweli mi nilijua ni tangazo, sijaelewa kwanini sijaelewa huu wimbo. Kama wengi wameelewa basi tatizo litakuwa kwangu binafsi.
 
Vijana wametisha sana, wimbo nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…