johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Mashabiki wa madale huu wimbo hawatauelewa coZ wamezoea nyimbo za za matusi sasa huku level zingne tena na hicho kimombo mbona kokoro yenu ishazimwa tayari !!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wala hawaitaki bongo yenu iliyojaa unafki na ndo maana hawakuanzia hukuInawezekana itakuwa nzuri ikizoeleka masikioni pangu ila kwa leo bado sijaisoma vizuri. Anyway, Navy Kenzo wapunguze uzungu kama wanataka kuliwin vizuri soko la bongo. Kamatia chini ilikuwa na kizungu ila kilichofanya ibambe ni chorus na beat kali.
Hahhaa bravo to you niggaWapenzi wa ngololo hapa hawatamuelewa. Maana mnapenda takataka kama wanjera nk nigeria singing style copy ila hii ukituleta wazee mitaa ya Kentucky lazima ule bata mpk asbh. Bravo Navykenzo
Unamapungufu au wivu unakuandamaNimeusikiliza maramoja na nikaufuta kabla haujaisha.
Mashabiki wa kkoo tumeulewa tayr nyny wa madake ndo bado hamjui vitu vizuriVipi na wale wa kariakoo je ingekuaje?
Ongeza ya tatu mkuuNgoma kali sana....mpaka sasa tunangoma mbili kali za kufunga mwaka...1@darasa na hu ni namba mbili...
Haueleweki........si wewe peke yakoKiukweli mi nilijua ni tangazo, sijaelewa kwanini sijaelewa huu wimbo. Kama wengi wameelewa basi tatizo litakuwa kwangu binafsi.
utafikaje ulaya na marekani wakati Tanzania bado hawaja teka soko...nalikubari sana hili kundi hawa level ya ulaya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] team ndomo mna nongwa sana aiseeTusubiri tuone. ila mimi binafsi sijauelewa.