Hiyo ngoma kwisha habari yake Mkuu.....mwisho clouds.[emoji23] [emoji23] [emoji23] team ndomo mna nongwa sana aisee
Rihanna Chris Brown Rick Ross Beyonce wanavyohit Africa huwa wanaimba kimakonde?Nani kasema ili usikike nje uimbe kiingereza mbna mziki wa mondi unapenya kuliko wa hao navy na anaimba kiswahili sometimes we have to treasure what is ours not their you feel me
Hiyo ngoma kwisha habari yake Mkuu.....mwisho clouds.
ha ha ha ha ..hofu yako tu. Wala hamna tatizo. Ni ukweli tu.team mond mna roho mbaya aisee,
sasa hawa navy kenzo wamemkosea nini diamond hadi mnakuwa na nongwa namna hii??
ha ha ha ha ..hofu yako tu. Wala hamna tatizo. Ni ukweli tu.
Ya aika shepu ya kichaga mkuu ujui mbele wapi nyuma wapi kotee nyamaaVideo nzuri ila wimbo huu nikilinganisha na Kamatia Chini, huu unasubiri.
BTW huwa nawaza Nahreel inakuwaje anapokuwa location na videm vikali huku Aika yuko pembeni yake aisee.
Maana ile shepi siisomi.
Acha dharau za kikabila sababu tukiamua kulianzisha la kabila lako (mollel) hautasalimika.Ya aika shepu ya kichaga mkuu ujui mbele wapi nyuma wapi kotee nyamaa
Sorry mkuuAcha dharau za kikabila sababu tukiamua kulianzisha la kabila lako (mollel) hautasalimika.
Wachagga wanayoshepu bomba sana ndio mana mamiss Tanzania asilimia kubwa ni Wachagga.