Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

Navy Kenzo waachia wimbo mpya - Feel good

Nani kasema ili usikike nje uimbe kiingereza mbna mziki wa mondi unapenya kuliko wa hao navy na anaimba kiswahili sometimes we have to treasure what is ours not their you feel me
Rihanna Chris Brown Rick Ross Beyonce wanavyohit Africa huwa wanaimba kimakonde?
 
ha ha ha ha ..hofu yako tu. Wala hamna tatizo. Ni ukweli tu.

nyie team ndomo ni kama wafuasi wa kibwetere.

yani mkimuona tu msanii mwingine anakubalika kimataifa mnaingia kwenye siku zenu ghafla.
 
Kuna tunzo zisizopungua 3 za kundi bora kwa Tz, East Africa na Africa zinakuja 2016/2017 kwa Navy Kenzo.
-Nyimbo nzuri sana na video ni level ya kimataifa.
 
Video nzuri ila wimbo huu nikilinganisha na Kamatia Chini, huu unasubiri.

BTW huwa nawaza Nahreel inakuwaje anapokuwa location na videm vikali huku Aika yuko pembeni yake aisee.

Maana ile shepi siisomi.
Ya aika shepu ya kichaga mkuu ujui mbele wapi nyuma wapi kotee nyamaa
 
Ya aika shepu ya kichaga mkuu ujui mbele wapi nyuma wapi kotee nyamaa
Acha dharau za kikabila sababu tukiamua kulianzisha la kabila lako (mollel) hautasalimika.

Wachagga wanayoshepu bomba sana ndio mana mamiss Tanzania asilimia kubwa ni Wachagga.
 
Naweka head phone za tecno masikion niweze kujua mbivu na mbichi
 
Video Kali sana ina ufundi wa hali ya juu ila wimbo walaaa sio mkali unafunikwa hadi na I wanna love you.Yeah yeah yeah nyingi mboyoyo tu hizo.
 
Washamaliza kujenga ghorofa lao la milioni 700?
 
Back
Top Bottom