Navy sends ship to Tanzania, aims to expand presence in IOR

Navy sends ship to Tanzania, aims to expand presence in IOR

Don't kid yourselves chest thumping about foreign navies in your waters. Powerful foreign powers militarily usually sent their navies to weak states as a projection of power, not an acknowledgment of peace as you think. that's why no foreign navies patrol US, Russian or Chinese waters

Now to an African context. The Most powerful nation on the Indian ocean is South Africa But the Indians haven't gone there, they'll seek weaklings
What is your point exactly?
Hueleweki dogo.
Sasa unataka Tanzania tuwe kama USA, Russia au China?
Ondoa ushamba.
 
Kama hujui kitu usipige makelele.
Soma hapa GDP per capita uone

Kenya: 2925.60
Tanzania: 2583.30
Rwanda: 1773.80
Uganda: 1713.90
Ethiopia: 1608.30

GDP per capita PPP - Countries - List | Africa

Sijui wewe mwenzetu kipimo umekitoa wapi?
Una elimu gani kijana?? GDP per capita haiakisi maendeleo ya mtu mmojammoja. Hiyo inaweza kuchangiwa na matajiri wachache wakati wengi wa raia ni masikini wa kutupwa na hivyo ndivyo kilichopo Kenya.
 
Una elimu gani kijana?? GDP per capita haiakisi maendeleo ya mtu mmojammoja. Hiyo inaweza kuchangiwa na matajiri wachache wakati wengi wa raia ni masikini wa kutupwa na hivyo ndivyo kilichopo Kenya.
Inachangiwa na matajiri kivipi? Acha kutokwa na mapovu bana. Kwanini usilete official information ku support unachosema?
Rwanda bado sana kuingia kwenye vita vya kiuchumi. Usisogeze pua kwa Tanzania hata maisha ya mtu binafsi tu Rwanda bado wako nyuma sana ya TZ. Sijui wewe unaongelea data zipi.

Hapa tunaongelea GDP per capita na siyo GDP pekee.
 
Wewe unabisha bila hata kujua unayembishia amesimamia hoja gani. Kalale.Rwanda imekuja vipi hapa. Rudia post yangu ya mwanzo.
 
Wa tz, siasa kwenye kila kitu halafu mtegemee mambo mazuri! Aaaahhh wapi na ndiyo mnabisha hadi data zinakosekana
 
Hehe Kisiwa cha amani lakini umaskini bado uanawaandama,
What kind of friendly 'pioneer' survey includes surveying your ocean economic zone of how you ocean topography looks like, ocean currents, where most fish are located, potential mineral sites..etc if it was being done by an indian commercial ship it would be fine, but a navy ship!? That's a little bit suspicious... Anytime the want to invade a country within the region they will know exactly which route to use without having to use sonar,radar making sure they can do it completely undetected by any country's radar
http://www.businessdailyafrica.com/...-wealth/-/539546/2213834/-/md5kpfz/-/index.ht
Hii taarifa bado ninashindwa kuielewa, wewe unaielewaje, kwamba wakenya 45M wanagawana theluthi moja iliyobaki?
 
Si umesema kenya hatuna amani? Kwahivyo hakuna mtu anatarajia tuwe na uwezo wowote wa kipesa... Nyinyi nchi ya amani ndo mnafaa muwe matajiri na uwezo mkubwa, lakini hamna kiasi cha kuomba india iwafanyie survey ya bure ya bahari yenu..

Wakati sisi Kenya, nchi isiyo na amani inajifanyia survey yenyewe, sisi tunayo meli kama hio ya india (oceanographic research OPV) ambayo iko na upgraded equipments za aina zote kama deployable echo sounders,sonar..etc za kufanya oceanographic survey and research.

View attachment 633749 View attachment 633750 View attachment 633751 View attachment 633752

Warudishieni Wasomali bahari yao, wizi wizi tu. Kenya is landlock.
 
Umesoma ujumbe huu lakini?

Ni muhimu ikafahamika kwamba nchi zote duniani ikiwemo Kenya hufuata miongozo ya WTO na Shirika ka Afya ya Wanyama duniani OIE...

Tanzania haitakiwi kuiongelea Kenya na "nchi zote duniani" kwamba huwa zinafuata rules za WTO na OIE. Hatujui kama "nchi zote huwa zinafuata" na hatujui kama WTO na OIE wenyewe wanakubali kwamba Kenya na "nchi zote duniani" wanafuata miongozo yao. Tunachojua sisi Tanzania na tunachoweza kukisema kwa uhakika ni kwamba Kenya is signatory to WTO and OIE treaties. That's all we know, and that's the diplomatic assertion that should have been properly made by us. Foreign servicemen who authored this release should know better.
 
Si umesema kenya hatuna amani? Kwahivyo hakuna mtu anatarajia tuwe na uwezo wowote wa kipesa... Nyinyi nchi ya amani ndo mnafaa muwe matajiri na uwezo mkubwa, lakini hamna kiasi cha kuomba india iwafanyie survey ya bure ya bahari yenu..

Wakati sisi Kenya, nchi isiyo na amani inajifanyia survey yenyewe, sisi tunayo meli kama hio ya india (oceanographic research OPV) ambayo iko na upgraded equipments za aina zote kama deployable echo sounders,sonar..etc za kufanya oceanographic survey and research.

View attachment 633749 View attachment 633750 View attachment 633751 View attachment 633752
For God sake hiyo meli ndo unaifananisha na ya India? [emoji23] [emoji115]

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
nimekimbia huku nikidhani ni tanzanian navy kumbe ni india...wabongo ni vituko
 
Hizo white elephants mbona mpo nazo nyingi tu. Weka hapa link tuweze kuikagua hiyo meli
Kwikwikwikwi....
unajua maana ya white elephant kweli au unapenda hilo neno tu. Umesoma hapo tunaeza pata mapato ya $150million kila mwaka tukianza kutumia technolojia za kisses za uvuvi.

Kabla ufanye proper commercial fishing, lazma ufanye study ya bahari yako , lazima ujue water column levels,biological and chemical analysis of your waters, planktons location, nutrient profiling, seabed topography.... Ukishafanya hayo yote ndo utajua exactly where to fish and how to fish and when to stop fishing
 
I bet Kenya has not been surveyed!
You know what happens when you bet against Kenya, you will only end up disappointing yourself. So far mv.mtafiti has only conducted 3 survey voyages of avg 15day trips between kiunga and kilifi. Once the faster and newer mv.Doria arrives, the process will go much quicker and survey all our maritime zone.

The process is not a cheap one though, the ships burn 3.5tonnes of fuel per day, it costs 30 million shillings just for one 15 day survey voyage .

But the returns that will come after the survey is done will be worth it

wp_ss_20171119_0002.png
 
Nina uhakika Kenya hakuna meli kama hii kama ipo waitaje tutaikagua. Maana kila detail ipo online siku hizi!

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Formaline fuuuuuuu povu linatoka maskio,pua,..mdufu...fyuuu fyuu

Google Mv.Doria utaona kitu kipya sayii kinafanyiwa sea trials somewhere in the indian ocean.

It was already handed over in june this year from bangladesh shipbuilding yard.

Look at the top right you will see 'Doria'
No title(11).jpg

Now all is left after the sea trials is to add the helicopter fully equipped with all the advance tech , and an additional gun just in case the ship has to defend itself
httpswww_servogear_nogfxmedia_c1133_orig_310f206a1a763e9631690ab0dc34ed9f.jpg
 
unajua maana ya white elephant kweli au unapenda hilo neno tu. Umesoma hapo tunaeza pata mapato ya $150million kila mwaka tukianza kutumia technolojia za kisses za uvuvi.

Kabla ufanye proper commercial fishing, lazma ufanye study ya bahari yako , lazima ujue water column levels,biological and chemical analysis of your waters, planktons location, nutrient profiling, seabed topography.... Ukishafanya hayo yote ndo utajua exactly where to fish and how to fish and when to stop fishing
Haya tafsiri ni simple sana. Google inarahisisha mambo. Kujifanya mjuaji siku hizi ni no:

White elephant
noun
  1. a possession that is useless or troublesome, especially one that is expensive to maintain or difficult to dispose of.
Origin
from the story that the kings of Siam gave such animals as a gift to courtiers they disliked, in order to ruin the recipient by the great expense incurred in maintaining the animal.
 
Back
Top Bottom