What is your point exactly?Don't kid yourselves chest thumping about foreign navies in your waters. Powerful foreign powers militarily usually sent their navies to weak states as a projection of power, not an acknowledgment of peace as you think. that's why no foreign navies patrol US, Russian or Chinese waters
Now to an African context. The Most powerful nation on the Indian ocean is South Africa But the Indians haven't gone there, they'll seek weaklings
Una elimu gani kijana?? GDP per capita haiakisi maendeleo ya mtu mmojammoja. Hiyo inaweza kuchangiwa na matajiri wachache wakati wengi wa raia ni masikini wa kutupwa na hivyo ndivyo kilichopo Kenya.Kama hujui kitu usipige makelele.
Soma hapa GDP per capita uone
Kenya: 2925.60
Tanzania: 2583.30
Rwanda: 1773.80
Uganda: 1713.90
Ethiopia: 1608.30
GDP per capita PPP - Countries - List | Africa
Sijui wewe mwenzetu kipimo umekitoa wapi?
Inachangiwa na matajiri kivipi? Acha kutokwa na mapovu bana. Kwanini usilete official information ku support unachosema?Una elimu gani kijana?? GDP per capita haiakisi maendeleo ya mtu mmojammoja. Hiyo inaweza kuchangiwa na matajiri wachache wakati wengi wa raia ni masikini wa kutupwa na hivyo ndivyo kilichopo Kenya.
Wewe unabisha bila hata kujua unayembishia amesimamia hoja gani. Kalale.Rwanda imekuja vipi hapa. Rudia post yangu ya mwanzo.Inachangiwa na matajiri kivipi? Acha kutokwa na mapovu bana. Kwanini usilete official information ku support unachosema?
Rwanda bado sana kuingia kwenye vita vya kiuchumi. Usisogeze pua kwa Tanzania hata maisha ya mtu binafsi tu Rwanda bado wako nyuma sana ya TZ. Sijui wewe unaongelea data zipi.
Hapa tunaongelea GDP per capita na siyo GDP pekee.
Soma uelewe, si kukimbila kujibu hobela hobelaWhat is your point exactly?
Hueleweki dogo.
Sasa unataka Tanzania tuwe kama USA, Russia au China?
Ondoa ushamba.
http://www.businessdailyafrica.com/...-wealth/-/539546/2213834/-/md5kpfz/-/index.htHehe Kisiwa cha amani lakini umaskini bado uanawaandama,
What kind of friendly 'pioneer' survey includes surveying your ocean economic zone of how you ocean topography looks like, ocean currents, where most fish are located, potential mineral sites..etc if it was being done by an indian commercial ship it would be fine, but a navy ship!? That's a little bit suspicious... Anytime the want to invade a country within the region they will know exactly which route to use without having to use sonar,radar making sure they can do it completely undetected by any country's radar
Kojoa ulale.Mbona unarudia rudia kuleta comment humu umekuwa mwehu au?
Si umesema kenya hatuna amani? Kwahivyo hakuna mtu anatarajia tuwe na uwezo wowote wa kipesa... Nyinyi nchi ya amani ndo mnafaa muwe matajiri na uwezo mkubwa, lakini hamna kiasi cha kuomba india iwafanyie survey ya bure ya bahari yenu..
Wakati sisi Kenya, nchi isiyo na amani inajifanyia survey yenyewe, sisi tunayo meli kama hio ya india (oceanographic research OPV) ambayo iko na upgraded equipments za aina zote kama deployable echo sounders,sonar..etc za kufanya oceanographic survey and research.
View attachment 633749 View attachment 633750 View attachment 633751 View attachment 633752
Nina uhakika Kenya hakuna meli kama hii kama ipo waitaje tutaikagua. Maana kila detail ipo online siku hizi!Warudishieni Wasomali bahari yao, wizi wizi tu. Kenya is landlock.
Umesoma ujumbe huu lakini?
Ni muhimu ikafahamika kwamba nchi zote duniani ikiwemo Kenya hufuata miongozo ya WTO na Shirika ka Afya ya Wanyama duniani OIE...
Nimeingia hapa mbio nikifikiri ni meli ya Tanzanian Navy kumbe ni upuzi mtupu na meli ya wahindi.
For God sake hiyo meli ndo unaifananisha na ya India? [emoji23] [emoji115]Si umesema kenya hatuna amani? Kwahivyo hakuna mtu anatarajia tuwe na uwezo wowote wa kipesa... Nyinyi nchi ya amani ndo mnafaa muwe matajiri na uwezo mkubwa, lakini hamna kiasi cha kuomba india iwafanyie survey ya bure ya bahari yenu..
Wakati sisi Kenya, nchi isiyo na amani inajifanyia survey yenyewe, sisi tunayo meli kama hio ya india (oceanographic research OPV) ambayo iko na upgraded equipments za aina zote kama deployable echo sounders,sonar..etc za kufanya oceanographic survey and research.
View attachment 633749 View attachment 633750 View attachment 633751 View attachment 633752
unajua maana ya white elephant kweli au unapenda hilo neno tu. Umesoma hapo tunaeza pata mapato ya $150million kila mwaka tukianza kutumia technolojia za kisses za uvuvi.Hizo white elephants mbona mpo nazo nyingi tu. Weka hapa link tuweze kuikagua hiyo meli
Kwikwikwikwi....
You know what happens when you bet against Kenya, you will only end up disappointing yourself. So far mv.mtafiti has only conducted 3 survey voyages of avg 15day trips between kiunga and kilifi. Once the faster and newer mv.Doria arrives, the process will go much quicker and survey all our maritime zone.I bet Kenya has not been surveyed!
Both ships have similar equipment, the only difference is one is bigger than the otherFor God sake hiyo meli ndo unaifananisha na ya India? [emoji23] [emoji115]
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Formaline fuuuuuuu povu linatoka maskio,pua,..mdufu...fyuuu fyuuNina uhakika Kenya hakuna meli kama hii kama ipo waitaje tutaikagua. Maana kila detail ipo online siku hizi!
Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
Haya tafsiri ni simple sana. Google inarahisisha mambo. Kujifanya mjuaji siku hizi ni no:unajua maana ya white elephant kweli au unapenda hilo neno tu. Umesoma hapo tunaeza pata mapato ya $150million kila mwaka tukianza kutumia technolojia za kisses za uvuvi.
Kabla ufanye proper commercial fishing, lazma ufanye study ya bahari yako , lazima ujue water column levels,biological and chemical analysis of your waters, planktons location, nutrient profiling, seabed topography.... Ukishafanya hayo yote ndo utajua exactly where to fish and how to fish and when to stop fishing