Nawaachia malenga...

Haswaa hilo ndilo lilinonisukuma mpaka kuandika shairi hili. Nilikuwa natafakari juu ya hadithi ya kaka...been worried with the rate of disappointing stories from friends around me. Sijui kama ntapenda kweli...inawezekana kumpenda mtu with all your heart tena? Maana kila utayekutana naye..mzuri wa nje..kumbe ndani!!!!
Inauma...lakini....
 
Well kua na mtu miaka mitatu yote usijue ni mke wa mtu naweza kuuita haraka maana inaonekana hata familia na marafiki zake hawakua karibu.Kuna watu within a week wanakua wanafahamiana kama vile walikua pamoja wengine ndo kama hao miaka alafu unakuja kugundua you didn‘t know them at all.So tatizo sio urefu au ufupi wa muda bali ni kile kinachofanyika ndani ya muda wako....sipendi kusema hivi ila kaka yako ni mvivu...akishadanganywa anapendwa basi anatulia akidhani kazi ndio imeisha!!Mtu unaefikiria kua nae ndoani inabidi utumie muda zaidi kumchunguza bila yeye kujua....ni bora kujua mabaya ya mtu uamue kuyakubali kuliko kumkubali usijue ana mizigo gani ya “yaliyopita“
 
Don‘t make other people‘s failure and bad luck your own!!(Wow...nice quote...nimejikubali)Nwy hata siku moja usiache kufanya kitu kwasababu ya fulani hakuweza...fulani hakupata...fulani alihivi au vile.Ukiamua kwamba hutokaa uoe au utapenda kuao iwe on your own terms...personal reasons na sio kwa kuangalia za wengine zilivyofaulu au kufeli!
 
Sawa then...alifanya haraka. vipi huyo aliyepata mimba wakiwa pamoja!??
 
But i thot we learn from others' mistakes/experiences?!?
Nimeikubali ur quote..tutakuongeza kwenye list ya wahenga.
 
Sawa then...alifanya haraka. vipi huyo aliyepata mimba wakiwa pamoja!??
Nae alifanya haraka kumuamini...inawezekana yeye kaka yako ndo alokua mlowezi wa penzi in this case as well.Ajichunguze kwanini anakua attracted na wanawake wa aina moja (WASIO WAKWELI that is)
 
But i thot we learn from others' mistakes/experiences?!?Nimeikubali ur quote..tutakuongeza kwenye list ya wahenga.
Learning is good....ila kuchukua makosa yao na kuyafanya yako kutakunyima wewe kuexperience mambo first hand....na huwezi jua matokeo yangekuaje kwako.THANKS!
 
Of koz haimaanishi wema wazuri wakweli hawapo!wengi tuliapa miungu yote kutopenda tena na tukajiset kuishi single forever but look where we are! Twatembea twacheka ka wendawazimu barabarani! Kakio atasahau na atampata wa kweli.
 
Learning is good....ila kuchukua makosa yao na kuyafanya yako kutakunyima wewe kuexperience mambo first hand....na huwezi jua matokeo yangekuaje kwako.THANKS!

Uwii..sitaki kuyaexperience hayo!!!! ote lanyoe...
 
Of koz haimaanishi wema wazuri wakweli hawapo!wengi tuliapa miungu yote kutopenda tena na tukajiset kuishi single forever but look where we are! Twatembea twacheka ka wendawazimu barabarani! Kakio atasahau na atampata wa kweli.

wow..thanks! that's encouraging...op unaongea from exerience na sio kunitia moyo tu!
 
sisirya nsoro!!

Kiduku, I believe hicho ni kimachame...
apo nimeelewa tu nsoro==msoro (old moshi)==mwanaume!
sisirya==????

Natamani singekuwa nimegombana na manka ningemuuliza!!!!lol
 
Uwii..sitaki kuyaexperience hayo!!!! ote lanyoe...
We bana...Mchagga gani hutaki kuanzisha biashara kwasababu ya jirani ilikufa?!I meant kupenda na mambo kama hayo...usiogope/kataa/jinyima kupenda kwasababu mwingine alijitoa akatendwa!
 
We bana...Mchagga gani hutaki kuanzisha biashara kwasababu ya jirani ilikufa?!I meant kupenda na mambo kama hayo...usiogope/kataa/jinyima kupenda kwasababu mwingine alijitoa akatendwa!

Haha dada...piashara na mapenzi ni fitu fiwili tofauti kapisa!
 
Sasa kama wewe ni mfanyapiashara msuri...mpiganaji wa ukweli hata mapensi unayapigania!

hayang bana...sisemi sana, ngoja kesho nije na kitu kipya! na ni real life stories...inasikitisha ila utaniambia...niendelee kupenda kweli dada?? heri kufanya biashara nikafeli...ila kuumizwa moyo ni kitu kingine..
 
Hata siku moja siwezi mumwambia mtu asipende tena maana ntakua mbinafsi....kama mimi napenda kwanini nae asipende?‘
 
Tatizo lake anapenda sana huyo ndo maana anatendwa itabid ajipe mda kidogo ili atafakari mwanamke gani ili atuliye naye
 
du maskin alikuwa anaingia kichwakichwa tu, pole yake,ila wake yupo tu mungu kamwandalia, siku moja utamkuta hata utamshangaa
 
Uwii..sitaki kuyaexperience hayo!!!! ote lanyoe...

Ruwa okomangi......................Ote lanye..............chaaa!Aranyia "sir",mbie lee,apige magoti,alafu am-mbange RUWA amtarame!
 
Ruwa okomangi......................Ote lanye..............chaaa!Aranyia "sir",mbie lee,apige magoti,alafu am-mbange RUWA amtarame!

Hahah..eketerewa kila siku mleu...ngameny kapisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…