Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Hapa mbagala Rangitatu kwenye daraja la mwendokasi la wavuka kwa miguu kwanza daraja hili lina vitu viwili Designing nzuri, limejengwa kwa myindo wa ku-extend kwa upana pande zote mbili pili location Nzuri lipo (katikati ya soko/Center ya Biashara) so flow ya watu ni wengi sana ukilinganisha na mengine Kama la kimara, moroco, ubungo nk daraja
Kuna fursa ya kupiga picha juu ya daraja watu wengi wanapiga picha kutokana na view yake hasa mida ya jioni wateja wengi visiataduu, wanafunzi, wapenzi, watoto nk ukiwa juu kama una camera yako wahi pale hukosi pesa ya uhakika wai likiwa lamotomoto,
Anyway ukitaka msadizi wa kubeba kamera utanicheki sina mchongo now