Nawaalika warembo wa kula nao bata

Nawaalika warembo wa kula nao bata

Wapi hapo mzee? Nitafurahi ukinipeleka aisee!! Kuhusu usafiri utapanda Bentley mkuu
fika hapa mjin nikupeleke chimbo la watt wa kibongo a.k.a kibao kata utapata raha yakee
 
Hello JF kama ule msemo wetu pendwa ulivyo #kazinabata# basi nami nawaalika warembo wa JF wasizidi 10 tule bata pamoja au sio?

Tarehe 26 nitaruka kutoka Washington Dules international Airport kuelekea Dar es Salaam then tarehe 28 nitakua free kwenye viunga vya Dar so napendelea kujulishwa viwanja vipya vya kujivinjari na warembo wangu wa JF!! Baada ya hapo Tarehe 30 tutakua na flight kuelekea Serengeti then Ngorongoro na kurudi Dar es Salaam tarehe 3 January.

Hivyo ukiwa kama mrembo wa JF karibu sana u join nami and all bills zitakuwa juu yangu only nahitaji hangout tuu. Zawadi pia zitakuwepo.

Watakao hitaji karibuni sana hapa au PM.

Karibuni.
Nasuruhusiwa kuja nakujilipia bills zangu mwenyewe?
 
Humu warembo hawezi pata, wazur wa humu hawana shobo hzo,
Ila wabovu wa humu wanataman knyama sema ndo ivo sura na umbo private.
 
Back
Top Bottom