Nawaandikia dada zangu wapendwa.

kwa sababu akina dada wakikataa wanaume watafanya na nani?......nimesema kagua kama ukishindwa kabisa kuvumilia kucheza mechi kabla ya ndoa. Subiri.......ukishindwa........
 
Nafikiri ushauri mzuri ni "beba kondomu yako, hasa ya kike"
 
kwa sababu akina dada wakikataa wanaume watafanya na nani?......nimesema kagua kama ukishindwa kabisa kuvumilia kucheza mechi kabla ya ndoa. Subiri.......ukishindwa........
Hujawahi kusikia neno "MASHOGA"?

BTW naomba kuuliza, hivi ni wanaume peke yao ndio wanaoambukiza ngoma? Hivi wanawake hawawaambukzi wanaume?
 
mganyizi unadandia treni kwa mbele,kuchanganyikiwa kwa tall kuko wapi wakati anatoa elimu ya ukimwi?au wewe unaona poa tu watu kuwaambukiza wenzao ukimwi kwa makusudi?
anahitaji maombezi yanguvu huyu...
 
hujawahi kusikia neno "mashoga"?

Btw naomba kuuliza, hivi ni wanaume peke yao ndio wanaoambukiza ngoma? Hivi wanawake hawawaambukzi wanaume?
wote wanaambukizana hasa wakicheza ile mechi wakiwa pekupeku hapo uwezekano ni mkubwa sana.
 
ushindwe!!!!
 
Hata mimi ninalo, naliuliza sasa hivi.

Mheshimiwa Tolu, kwanini unatoboa kondom halafu unawamega dada zetu? Kama hufanyi hivyo ulijuaje kama wanaume wakware wenzio wnafanya hivyo?

Hapa Hommie umegonga ikulu.... Tolu tunaomba uwaonee huruma dada zetu....Usitoboe tena Condom!!
 
Kwa kuongezea kwenye ushauri "pia umvalishe mwenzi wako"

Najua wanaume wengi hatujui jinsi ya kuvalisha wenzi wetu hizi kondom zao,mnaonaje mkatoa somo kisha umasishaji ukaanza juu ya wanaume nao kuhakikisha wamewavalisha wenzi wao kondom.Halafu ikitokea demu katinga kondom yake na wewe mzee umejitwisha ya kwako,si ndo inakuwa safi zaidi.
 
Hapa Hommie umegonga ikulu.... Tolu tunaomba uwaonee huruma dada zetu....Usitoboe tena Condom!!
jamani mbona mnapenda kumsakama tall? kutoa topiki ndio imekuwa kosa lol
 
hapa Tolu unatoa uzoefu pamoja na uzoefu wa wengine aseee "we have a long way to Tz Aids Free Generation!!
 
mmoja tu ndio anatakiwa kuvaa kondomu wakivaa wawili possibility ya kupasuka inakuwa kubwa sana mpira kwa mpira na ladha inashuka mnooo
 
wote wanaambukizana hasa wakicheza ile mechi wakiwa pekupeku hapo uwezekano ni mkubwa sana.

Sasa kwanini unawashauri wanawake peke yao wakague kondomu?
 
Hapa Hommie umegonga ikulu.... Tolu tunaomba uwaonee huruma dada zetu....Usitoboe tena Condom!!

Mi niko interestedi zaidi na kujua kifaa anachotumia bwana Tolu kutoboa kondomu. Sindano? Pini au Mwiba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…