- Thread starter
- #21
kwa sababu akina dada wakikataa wanaume watafanya na nani?......nimesema kagua kama ukishindwa kabisa kuvumilia kucheza mechi kabla ya ndoa. Subiri.......ukishindwa........mie nashukuru kwa ujumbe huu ila tu nauliza
1. Mbona umewaasa kina dada tu kutofanya mapenzi kabla ya ndoa?
2. Mbona umetuasa tusifanye mapenzi kabla ya ndoa lakini mwisho ukatuambia tukague condom? Kwa hiyo ni ruhsa kufanya ila tukague condoms?
Aksante mwalimu