Acha niisepe hii sredi mpaka itulie isije ikapigwa fomesheni ya 4-4-2 tukachanganywa mpaka wagongaji wa senksi. hehehe
Afadhali umegundua hilo. Safari hii panga linaweza kuwakumba mpaka watumishi wa Mungu kama huyu hapa chiniAcha niisepe hii sredi mpaka itulie isije ikapigwa fomesheni ya 4-4-2 tukachanganywa mpaka wagongaji wa senksi. hehehe
Keep on connecting... nikupe kamba?
He! Hommie! Alijisikiaje kudandia au kufanya nini?
Afadhali umegundua hilo. Safari hii panga linaweza kuwakumba mpaka watumishi wa Mungu kama huyu hapa chini
Huyu mwoga wa Jela huyu!!!klorokwini...lol, bwana tuliza ghasia usisepe....hivi watu mnashindwaga nini kumu ignore mtu?
1.Niombe radhi brigita sijakimbia swali,swali hilo nililijibu tazama post namba 14 ya thread hii,nilijibu saa 10.08Hapa ndipo tunaporudi kwenye maswali ya msingi, Kabla ya kuchangia hii topic, great thinkers walimuuliza tolu, Umetoboa ndomu wapi na lini kwa dada zetu hawa?
Akakimbia swali, sisi tukajua huu ni umbea from the start!! Angesema nimesikia na nimethibitisha, nimetoboa na hajajua (hata ingekuwa kwa my wifey wake)
Hahahahaha! Umesahau wengine profesheni yetu ni kama ya Don King!! (Zimebaki siku 29 za ahadi)Uchonganishi... unachora mstari halafu unataka kuona nani anavuka kumfuata mwenzie... (Mungu akusamehe)
1.Niombe radhi brigita sijakimbia swali,swali hilo nililijibu tazama post namba 14 ya thread hii,nilijibu saa 10.08
2.Hakuna umbea wala Uarusha wowote hapa
Huyu mwoga wa Jela huyu!!!
hapa itabidi na wewe uombe radhi kwanza!!1.Niombe radhi brigita sijakimbia swali,swali hilo nililijibu tazama post namba 14 ya thread hii,nilijibu saa 10.08
2.Hakuna umbea wala Uarusha wowote hapa
Tulianza na kondom kutobolewa tunamalizia na umbea kwenye matumizi ya kondomu iliyotobolewa. Mwendo kazi!!kwa kweli humu ndani leo, hapana! lol...
Aanze kumuomba radhi invizibo, kisha MOD Bigirita, halafu wewe mwisho kabisa askofu wetu. Baada ya hapo aninunulie bia za baridi kwa ajili ya baraka kuu.hapa itabidi na wewe uombe radhi kwanza!!
1.nimeanza na heading inayosema '' nawaandikia dada zangu wapendwa'' hao ndio niliokuwa naongea nao na wao NDIO huolewa toka lini wao WAKAOA?ndio maana nikasema....si vema kufanya tendo la ndoa kabla ya kuolewa NDANI YA NDOA YAKO.....bado ninamaanisha wao akina dada.Nimerudi mwanzo,kama hujaoa? ruksa kufanya na walioolewa?
Hahahahaha! Umesahau wengine profesheni yetu ni kama ya Don King!! (Zimebaki siku 29 za ahadi)
usikute toka kuzaliwa hujawahi kuonja pombe.aanze kumuomba radhi invizibo, kisha mod bigirita, halafu wewe mwisho kabisa askofu wetu. Baada ya hapo aninunulie bia za baridi kwa ajili ya baraka kuu.
Aanze kumuomba radhi invizibo, kisha MOD Bigirita, halafu wewe mwisho kabisa askofu wetu. Baada ya hapo aninunulie bia za baridi kwa ajili ya baraka kuu.
Akinunua Askofu sala zitasikilizwa mapema zaidi.....sasa nani anunue hapo
ha ha ha ha Hommie hapa nimecheka loudly dah!!Tulianza na kondom kutobolewa tunamalizia na umbea kwenye matumizi ya kondomu iliyotobolewa. Mwendo kazi!!