Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Nawaandikia dada zangu wapendwa.

Acha niisepe hii sredi mpaka itulie isije ikapigwa fomesheni ya 4-4-2 tukachanganywa mpaka wagongaji wa senksi. hehehe

klorokwini...lol, bwana tuliza ghasia usisepe....hivi watu mnashindwaga nini kumu ignore mtu?
 
Hapa ndipo tunaporudi kwenye maswali ya msingi, Kabla ya kuchangia hii topic, great thinkers walimuuliza tolu, Umetoboa ndomu wapi na lini kwa dada zetu hawa?

Akakimbia swali, sisi tukajua huu ni umbea from the start!! Angesema nimesikia na nimethibitisha, nimetoboa na hajajua (hata ingekuwa kwa my wifey wake)
1.Niombe radhi brigita sijakimbia swali,swali hilo nililijibu tazama post namba 14 ya thread hii,nilijibu saa 10.08
2.Hakuna umbea wala Uarusha wowote hapa
 
Uchonganishi... unachora mstari halafu unataka kuona nani anavuka kumfuata mwenzie... (Mungu akusamehe)
Hahahahaha! Umesahau wengine profesheni yetu ni kama ya Don King!! (Zimebaki siku 29 za ahadi)
 
1.Niombe radhi brigita sijakimbia swali,swali hilo nililijibu tazama post namba 14 ya thread hii,nilijibu saa 10.08
2.Hakuna umbea wala Uarusha wowote hapa

kwa kweli humu ndani leo, hapana! lol...
 
Sijui nini kinaendelea hapa..Condom huonyesha unajali :A S-rose:
 
1.Niombe radhi brigita sijakimbia swali,swali hilo nililijibu tazama post namba 14 ya thread hii,nilijibu saa 10.08
2.Hakuna umbea wala Uarusha wowote hapa
hapa itabidi na wewe uombe radhi kwanza!!
 
hapa itabidi na wewe uombe radhi kwanza!!
Aanze kumuomba radhi invizibo, kisha MOD Bigirita, halafu wewe mwisho kabisa askofu wetu. Baada ya hapo aninunulie bia za baridi kwa ajili ya baraka kuu.
 
Nimerudi mwanzo,kama hujaoa? ruksa kufanya na walioolewa?
1.nimeanza na heading inayosema '' nawaandikia dada zangu wapendwa'' hao ndio niliokuwa naongea nao na wao NDIO huolewa toka lini wao WAKAOA?ndio maana nikasema....si vema kufanya tendo la ndoa kabla ya kuolewa NDANI YA NDOA YAKO.....bado ninamaanisha wao akina dada.
HAPO BADO PAKO SAHIHI KABISA MKUU hujaninasa bado. UKWELI UTABAKI VILEVILE
 
aanze kumuomba radhi invizibo, kisha mod bigirita, halafu wewe mwisho kabisa askofu wetu. Baada ya hapo aninunulie bia za baridi kwa ajili ya baraka kuu.
usikute toka kuzaliwa hujawahi kuonja pombe.
 
Aanze kumuomba radhi invizibo, kisha MOD Bigirita, halafu wewe mwisho kabisa askofu wetu. Baada ya hapo aninunulie bia za baridi kwa ajili ya baraka kuu.

sasa nani anunue hapo
 
Back
Top Bottom