Si vema kufanya tendo la ndoa kabla hujaolewa.....kuna wale ambao hufanya hivyo na wanalazimika kuvaa condom,kuna tetesi kuwa kuna baadhi ya wanaume wenzangu ambao hutoboa condom pale chini halafu anaivaa,wewe unajua angalau upo salama kwa kiasi fulani kumbe sio.Hawa watu aidha wameathirika hivyo wanataka wafe na mtu au hawataki tu kuvaa condom:
USHAURI: KAGUA CONDOM KABLA YA MECHI.
USHAURI: KAGUA CONDOM KABLA YA MECHI.