Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Nawachukia baadhi ya wanaume kuanzia leo

Ungekuwa karibu ningekueleza kaniudhi balaa na hasira mpaka nataka kuzimia hapa nilipo mori umepanda mpaka basi acha tu

Kama unajua huwezi kusema alichokuudhi hapa kwa nini ueleze vitu nusu nusu hapa. Kumbuka "mficha Uchi hazai"? Hapa kuna wazee wa busara na wengine wenye uzoefu kuwa wazi usaidiwe ila ukianza mafumbo hapa na hatujui umepatwa na nini utakuwa umetumia vibaya JF.
 
..................... from the reading of thangs, i assume DA has never hurt anyone nor disappoint anyone

na'asi
 
swahiba, kusema kweli leo nimepata shoko ya mwaka from DA... i couldnt believe my eyes

but when i looked at her signature, i had a laugh

contradicting indeed!!!

We acha tu yamenifika kooni ndo maana unaona hivyo
 
LOL...'Sipiyu' wewe ni mchokozi sana aisee, khaaa? ...ha ha ha!

Mkuu wangu Moskwito
Mimi namheshimu sana huyu mdada, namjali na nampenda pia
Na naonyesha hayo kwa VITENDO
Wanasema "KAMA UNAMPENDA UTAMLINDA"

Hasira si nzuri kabisa, hasa hasira za kuzidi ambazo unaweza kuzihamishia kwa mtu mwingine pia
Bila kujali sababu zake, HASIRA SI NZURI HATA.
I may sound like mchokozi, mkorofi lakin tafakari kwa makini maneno yangu
Wakati wewe umempa ushauri mzuri sana wa kushusha hasira zake, mimi nimemueleza namna hasira zinavyoweza kuharibu zaidi badala ya kujenga. Na anapaswa kuepuka hasira za kumfanya mpaka anajiapiza, hasa anaposema ". . . . kuanzia leo"
Tubembelezane kushusha hasira lakin TUJENGANE PIA kuepuka kutawaliwa na hizi hasira.
Anaweza kujidhuru hata kiafya kwa kufanya hivi

Wanasema "KINGA NI BORA KULIKO TIBA"
Kila binadamu ana hasira, lakin hebu fikiria kila mtu angekuwa hawezi kudhibiti hasira zake . . . .
Tufarijiane na tufundishane pia
Tusioneane aibu wala woga Mkuu
Nadhani unanielewa ninachomaanisha
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Dena pole dear,em jipe raha urelease usife kwa presha,ntakusemesha sun
 
Dena Amsi! Pole sana najua hakuna kitu kibaya kama mtu kukufanyia kama ulivyosema hapo juu

BAK naomba upload wimbo wa
RASCAL FLATTS-What hurts the most

Nipo kwenye simu hapa siwezi upload

Dedication kwa dada DA

Thanks Manyanza
 
We acha tu yamenifika kooni ndo maana unaona hivyo

Kwa kuongea na mamna hii hata kama ni kwenye key board tayari umepata tiba ya karibia 60%. Nasubiri PM ukinieleza kuwa u got a wonderful dinner tonight!!


Mzee DC!!!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Kwa kuongea na mamna hii hata kama ni kwenye key board tayari umepata tiba ya karibia 60%. Nasubiri PM ukinieleza kuwa u got a wonderful dinner tonight!!


Mzee DC!!!!


Will do that Mzee DC aka Babu not wa Loliondo
 
ati??????????? hebu huyo wa pili aje halafu uone muvi inavyokua tamu............ waweza kuta issue iko upande wa desi hapa
 
Will do that Mzee DC aka Babu not wa Loliondo[/QUOTE]

Hapo naona unakaribia ku-cross ule mstari wetu tuliouchora pamoja...Ila kwa sababu lazima babu acheze na wajukuu basi hakuna na matata. Nenda kalale mapema kesho uwahi shule (sorry kibarua) basi!!
 
ati??????????? hebu huyo wa pili aje halafu uone muvi inavyokua tamu............ waweza kuta issue iko upande wa desi hapa

Ha ha ha ha wewe bana Desi ha ha ha ha Dena bana
 
Never let any one know what ur thinking, but jifunze kusamehe na pia kua mvumilivu zungumza na huyo mwanaume , mmalize huo mgogoro, mungu akuzidishie hekima
 
Back
Top Bottom