Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,976
- 13,434
Kila sifa nzuri África Nigeria wanayo na kila sifa mbaya wanayo pia. Ni wewe kuchagua upande gani wa kuwatazamia hawa jamaa
Kisa ni nini? Una vigezo gani vya kiwachukia
Mkuu wa band hawa jamaa hawachelewi kukufanya dili ghafla tu.watakupa mbinu kibao ila usishiriki nao,ni wajanja but kama upo nao jifanye mnashirikiana na utafaidi tu,
acha uwoga
Tuko pamoja kiongozi.Tumekusoma. Mimi pia nadhani nawachukia hawa jamaa