Nawachukia wanaume wachafu

Acha kupindisha maneno, sema boyfriend wako ndio mchafu, sio wanaume.
 
ni shida kwa kweli harufu za jamaa yako na harufu ya papuchi yako vikichanganyikana mnatengeneza dampo la vingunguti mtaani kwenu
 
Nilivumilia soksi nikaona anauvivu kwenda geto tu kusalimia dah ni ishu ingine kama unaingia jalalani.
🤣🤣🤣🤣🤣 sasa we sindio demu wake ulitakiwa umfulie na kudeki sio kuja kulalamika humu. Nachukia wanawake walalamishi kinoma.
 
MIMI SIAMINI KAMA HIVYO VYOTE ULIVYOSEMA NI KWELI,LAZIMA KUNA JINSI HAPO UMETIA CHUMVI.
 
Ushauri mzuri..il UKIMPENDA utambadili as "uchafu wake ni wako pia"
 
Unaandika "ukimukuta muchafu" badala ya "ukimkuta mchafu" sasa hicho ulichoandika wewe ni kiswahili cha wapi kama siyo cha congo mkuu?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mimi siyo mutu ya congo. Mimi Tanzania kabisa. Umetumia kigezo gani kuniweka katika kundi la wakongo?. Marianah mimi originaly [emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Mkisema hivi basi kila mwanaume atajifanya mchafu ili mwanamke wake amsafishe ptuu acheni uchafu huko hovyoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa we sindio demu wake ulitakiwa umfulie na kudeki sio kuja kulalamika humu. Nachukia wanawake walalamishi kinoma.
 
Unashindwa kujiwekea ratiba ya kwenda fanya usafi kwa mpenzi wako umekaa hapo kumfungulia thread...Sawa huwezi kwenda mfanyia usafi kisa hajakuoa..Basi achana na maisha yake ya uchafu..Akikuoa atabadilika atakua msafi.
 
Unashindwa kujiwekea ratiba ya kwenda fanya usafi kwa mpenzi wako umekaa hapo kumfungulia thread...Sawa huwezi kwenda mfanyia usafi kisa hajakuoa..Basi achana na maisha yake ya uchafu..Akikuoa atabadilika atakua msafi.
Wewe kwangu umejiwekea ratiba gani hadi mimi nijiwekee ratiba ya kufanya usafi kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…