Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz

Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
Mimi nina vitz old model hata hapa ninaiendesha hiyo gari. Mbali na hayo nina Harrier Hybrid nina Prado na pia nina gari zingine za biashara. Sijawahi kujutia kuwa na Vits.

Mnaowaita maskini ukute wana maisha mazuri mara kumi ya wewe mwenye gari kama Subaru.

Kuna dogo mmoja alinichomekea vits nikamwambia kuwa mwangalifu akasema kwenda zake na gari ya house girl. Gari aliyokuwa anaendesha ni ya chini kuliko niliyomnunulia mwanangu anayeanza chuo kikuu
 
Mjumbe hauwawi mkuu. Mimi hata gari sina nimefikisha ujumbe tu.
 
Kwahiyo mkuu wewe unaendasha ist kwa recreation or fun? Wegine mnamagari makubwa lakini hamna uwezo wa kumudi fuel consumption zake, hapo nikama kulazimshwa utajiri
 
Mbongo akipiga kaptula fupi, polo T-shirt na ndala chini huku mfukoni ana hela ya bia mbili tatu anaona maisha ameyapatia.. Lema bhana[emoji1787][emoji1787]
Kweli kapatia mtu kama huyu huwezi kumwambia habari za katiba mpya, ila ukimthaminisha assets zake zote hafikishi hata millions 20. Ila anajiona ni middle class elite.
 
We umeyapatia maisha aisee dah! Tupeane mbinu jamani [emoji16]
 
Ila Lema kasema ukweli mtupu middle class ya hapa Tanzania ndio angalau kwenye elimu ya kuanzia degree 1 na vi IST wanaona mambo ya siasa hayawahusu,huku ndugu zao wanaumia huko vijijini.
 
Ha ha ha kawalenga wale wenye IST tu kama main car
 
Ila Lema kasema ukweli mtupu middle class ya hapa Tanzania ndio angalau kwenye elimu ya kuanzia degree 1 na vi IST wanaona mambo ya siasa hayawahusu,huku ndugu zao wanaumia huko vijijini.
Watu wameshikilia point moja tu.
 
Binafsi nimemuelewa sana Lema. Ni sawa na banker sijui cashier akishapata kibarua bank anahesabu hela nyiingi za watu anavimba mbaya, jioni sijui ijumaa kavaa zake kinjuga na slippers, juu jezi yake na iphone hale second hand, jeuri zote town anamiliki kwakua anamudu kununua bia 2 na kitimoto basi anaona maisha ameyamaliza ilihali amejaa madeni kibao anajiona middle class family wakati kajamba nani mwenzetu tu. Yaan kuna mtu akishakua na kitu kidogo anaona maisha ameyamaliza. Huwezi muelezea masuala ya nchi akakuelewa. Yeye ilimradi kakshahara kake kameingia, IST yake inapata wese basi.. kutwa mliman city[emoji23][emoji23]

Tuwajuze tu, maisha baado sana. Hamjayapatia. Na vinjuga muvifue hivyo na matishet yenu. Alaaaaa.
 
Mbali na kwamba maneno yako makali ilaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji898][emoji898]
 
Acha wivu wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…