Nawafikishieni Ujumbe Mnaoendesha IST na Vitz


Anauza watu au?
 
Wanavaa tishirt za jezi au formsix wakishapiga na kaptura zile za draftidrafti au zile kaptura za pocket pembeni, kuta wanavaa visendoz na soksi na miwani juu, walipokaa vingereza vingi utahisi mipango ya kweli kumbe ni swaga tu hua nacheka sana
Halafu ananing'iniza Sanitizer na Funguo kiunoni, kitambi hichoo. Hatari sanaaaaa!
 
Kuna mwanasiasa kasema mkishanunua IST na VItz na kuanza kuvaa kaptura fupi weekend mnajiona mmepatia sana maisha, mnajihisi ni middle class kumbe ni masikini wenye nafuu! Mjumbe hauwawi, weekend njema!
Wasamehe mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…