Mkogoti
TAPELI Mkubwa
- May 3, 2020
- 2,415
- 3,927
Chap niende nikapate ka zawadi kangu 🤦🤪🏃
Hazimpigishi kelele lakini wawezakuta yaliyomo kwenye hizo simu IPhone 2 ni bora sana kuliko hata hizo simu zenyewe.IPhone 2 ndo mo zinampigisha kelele
Upuuzi tu itakuwa kuna xHazimpigishi kelele lakini wawezakuta yaliyomo kwenye hizo simu IPhone 2 ni bora sana kuliko hata hizo simu zenyewe.
Duuuh! Siwezi kudharau mawazo yako lakini kuna jamaa m1 kazini kwetu alishawahi kusahau simu katika kampuni yetu akiwa ametoka mamtoni, baada ya dakika 50 alirudi kutuuliza ikiwa kuna mtu aliiona akiahidi kutoa 500, 000/= kwa mtu atayeiona na kumpatia akisisitiza kuwa ile simu ina mipango muhimu sana kimaisha yake kwa 75% ya mafanikio yake.Upuuzi tu itakuwa kuna x
Ndio maana kuna cloud.. unawekaje vitu kwenye simu ambavyo muhimu, masimu yenyewe haya hayaelewekiDuuuh! Siwezi kudharau mawazo yako lakini kuna jamaa m1 kazini kwetu alishawahi kusahau simu katika kampuni yetu akiwa ametoka mamtoni, baada ya dakika 50 alirudi kutuuliza ikiwa kuna mtu aliiona akiahidi kutoa 500, 000/= kwa mtu atayeiona na kumpatia akisisitiza kuwa ile simu ina mipango muhimu sana kimaisha yake kwa 75% ya mafanikio yake.
upasue cloud bila kupoteza data?Hizo cloud kuna wahuni wanapasuka nazo
Duuuh! Siwezi kudharau mawazo yako lakini kuna jamaa m1 kazini kwetu alishawahi kusahau simu katika kampuni yetu akiwa ametoka mamtoni, baada ya dakika 50 alirudi kutuuliza ikiwa kuna mtu aliiona akiahidi kutoa 500, 000/= kwa mtu atayeiona na kumpatia akisisitiza kuwa ile simu ina mipango muhimu sana kimaisha yake kwa 75% ya mafanikio yake.
Kwahiyo aliipata?Duuuh! Siwezi kudharau mawazo yako lakini kuna jamaa m1 kazini kwetu alishawahi kusahau simu katika kampuni yetu akiwa ametoka mamtoni, baada ya dakika 50 alirudi kutuuliza ikiwa kuna mtu aliiona akiahidi kutoa 500, 000/= kwa mtu atayeiona na kumpatia akisisitiza kuwa ile simu ina mipango muhimu sana kimaisha yake kwa 75% ya mafanikio yake.
Upuuzi tu itakuwa kuna x
Haipo hiyoupasue cloud bila kupoteza data?
kanishangaza.Haipo hiyo
tatizo zina siri zinazodhihirisha kuwa huyo dada ni zaidi ya msaidizi wake.IPhone 2 ndo mo zinampigisha kelele