Nawahamasisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Napenda kutumia nafasi hii kuwahamisisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki ambazo itawezesha club yetu kupata mapato mengi kupitia sisi mashabiki

Hebu chukua mfano iwapo mashabiki milioni 5 nchi nzima watachukua kadi hizi kila mtu mmoja ataichangia klabu sh 12000 ukipiga hesabu ni pesa nyingi sana

na kila utakapotumia kadi hii kununua luku au kulipia mtandaoni kama ebay na aliexpress au utakaponunua vocha za mitandao au kuhamisha pesa kwenda mitandao ya simu au bank zingine club yetu itakuwa inapata 50% ya makato .ni mamilioni kwa siku ambayo yataifanya club kujiendesha kwa weledi

shime tukachukue kadi
1578922514016.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo 50% haingii kwa club,inaingia kwa investor wa club mwenye hisa nyingi.
Kumbuka Mo haifanyi simba kama charity yupo kibiashara zaidi
Acha ushabiki kua muhalisia
Napenda kutumia nafasi hii kuwahamisisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki ambazo itawezesha club yetu kupata mapato mengi kupitia sisi mashabiki

Hebu chukua mfano iwapo mashabiki milioni 5 nchi nzima watachukua kadi hizi kila mtu mmoja ataichangia klabu sh 12000 ukipiga hesabu ni pesa nyingi sana

na kila utakapotumia kadi hii kununua luku au kulipia mtandaoni kama ebay na aliexpress au utakaponunua vocha za mitandao au kuhamisha pesa kwenda mitandao ya simu au bank zingine club yetu itakuwa inapata 50% ya makato .ni mamilioni kwa siku ambayo yataifanya club kujiendesha kwa weledi

shime tukachukue kadi

View attachment 1318607

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga wanadhani hii ya Simba ni wa kwanza.
Yes ilifeli kwa sababu hizo hizo ambazo itafeli Simba.
Ushabiki pembeni, wanachama na mashabiki wengi wa timu zetu hata ku manage tigo pesa, mpesa, Airtel money ni mtihani. Nyingi za kupokelea tu.
Je ku manage hizo kadi za bank?
Inabidi utokee ubunifu mwingine kabisa.
 
Natamani viongozi wetu Chini ya Jemedali Mshindo,kuiga Yale mazuri tu,wanayofanya wekundu wa msimbazi ktk kujiletea maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kutumia nafasi hii kuwahamisisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki ambazo itawezesha club yetu kupata mapato mengi kupitia sisi mashabiki

Hebu chukua mfano iwapo mashabiki milioni 5 nchi nzima watachukua kadi hizi kila mtu mmoja ataichangia klabu sh 12000 ukipiga hesabu ni pesa nyingi sana

na kila utakapotumia kadi hii kununua luku au kulipia mtandaoni kama ebay na aliexpress au utakaponunua vocha za mitandao au kuhamisha pesa kwenda mitandao ya simu au bank zingine club yetu itakuwa inapata 50% ya makato .ni mamilioni kwa siku ambayo yataifanya club kujiendesha kwa weledi

shime tukachukue kadi

View attachment 1318607

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni bakuli lililoboreshwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajinga wanadhani hii ya Simba ni wa kwanza.
Yes ilifeli kwa sababu hizo hizo ambazo itafeli Simba.
Ushabiki pembeni, wanachama na mashabiki wengi wa timu zetu hata ku manage tigo pesa, mpesa, Airtel money ni mtihani. Nyingi za kupokelea tu.
Je ku manage hizo kadi za bank?
Inabidi utokee ubunifu mwingine kabisa.
hatutafeli hilo ni dua la kuku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom