Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwani tatizo liko wapi? Kama YangaWajinga wanadhani hii ya Simba ni wa kwanza.
Yes ilifeli kwa sababu hizo hizo ambazo itafeli Simba.
Ushabiki pembeni, wanachama na mashabiki wengi wa timu zetu hata ku manage tigo pesa, mpesa, Airtel money ni mtihani. Nyingi za kupokelea tu.
Je ku manage hizo kadi za bank?
Inabidi utokee ubunifu mwingine kabisa.
Mo sio mjinga atumia ela zake aendeshe timu halafu hakuna faida yoyote inayongia kwake. Changia Simba lazima ihusike
Wakina mzee Akilimali walizipinga..niishie hapo vibaya kumnanga marehemuMuendelezo wake upo?unakumbuka figisufigisu walizofanyiwa wanachama waliojiunga kupitia mfumo huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna kaukweli hapaKila mwezi kuna percent inayoingia kwa MO, kila ukifanya transaction kuna pesa anabeba, huyu muhindi ana akili sana