Nawahamasisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki

Nawahamasisha wapenzi, mashabiki, na wanachama wa SIMBA SC Kufika katika tawi lolote na Equity Bank Kuchukua kadi za mashabiki

Wajinga wanadhani hii ya Simba ni wa kwanza.
Yes ilifeli kwa sababu hizo hizo ambazo itafeli Simba.
Ushabiki pembeni, wanachama na mashabiki wengi wa timu zetu hata ku manage tigo pesa, mpesa, Airtel money ni mtihani. Nyingi za kupokelea tu.
Je ku manage hizo kadi za bank?
Inabidi utokee ubunifu mwingine kabisa.
Mkuu kwani tatizo liko wapi? Kama Yanga
na Posta walifeli, acha Simba wajaribu. Kumbuka Yanga walifeli kuendesha kampuni pia, Simba wanajaribu na Yanga hao hao waliokuwa wa mwanzo sasa ndio wanajifunza kwa Simba. Kila mtu na akili zake bila kujali ulikuwa wa kwanza kuzaliwa au wa mwisho
 
Kila mwezi kuna percent inayoingia kwa MO, kila ukifanya transaction kuna pesa anabeba, huyu muhindi ana akili sana
 
Kila mwezi kuna percent inayoingia kwa MO, kila ukifanya transaction kuna pesa anabeba, huyu muhindi ana akili sana
kuna kaukweli hapa
Screenshot_2020-01-13-17-42-06.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom