Nawahoji nyinyi raia wenzangu; Kwani ni lazima kuita majina ya viongozi miradi iliyojengwa kwa kodi zenu?

Nawahoji nyinyi raia wenzangu; Kwani ni lazima kuita majina ya viongozi miradi iliyojengwa kwa kodi zenu?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Kwa hasira kuu.

Huu uchawa pro-max ukome.

Ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya kishamba yasiyo na swagger kila kona.

TUMECHOKA

Chungu lakini ndiyo dawa.
 
Kwa hasira kuu, huu uchawa pro-max ukome, ni kodi zetu, siyo lazima kila mradi upewe jina la viongozi, wengine ni nuksi tu watasumbua generation zijazo, wengine majina yao hayana swagger, ya-kishamba sana, basi tafrani tu. nchi imejaa majina ya wanasiasa kila kona. TUMECHOKA

Chungu lakini ndiyo dawa.
Mteja wako huwa anafurahia ukimwita kwa kina lake je wewe
 
Uchawa ni sumu mbaya sana kwenye nchi hii

Nasubiri siku moja mradi upewe jina la RANGO
 
Back
Top Bottom