Nawahusia viongozi wajao wa Tanzania mambo haya kwa ustawi wa Taifa

Nawahusia viongozi wajao wa Tanzania mambo haya kwa ustawi wa Taifa

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Usije ukajisahau ulipotoka na kukumbuka pasipo kikao cha watu na mashauri ya wazee wewe usingekuwa hapo ulipo. Hivyo uwaheshimu na kuwalinda hata kama kunawalio kupinga huwo ndio muda kuonyesha they was wrong kwa kuwapenda na kuwajali na sio kuwalipiza kisasi hilo ni hatari kwa usalama wa nchi.

Hata kama utajenga matofali milion moja na yule alijenga mawe laki moja kamwe usijisahau uongozi nikupokezana vijiti hivyo usingeweza kujenga mawe milion moja kama kusingekuwa na mwanzilishi wa msingi. Usijisifu usione wengine hawakufanya kitu na wewe ndio pekee ulie fanya kazi utakuwa unachimba shimo utakalo ingia mwenyewe.

Wazee ndio tunu za taifa ukiwa utakuwa kiongozi heshim sana hawa watu maana huwezi fanikiwa usipo kuwa na masikio yakushaurika au dharau wazee. Ukifanya hivyo basi juwa siku zakuwepo ktk siasa zaweza kuhesabika maana Wazee ni tunu za Taifa.

Si kila vita lazima uivae mara nyingine waweza poteza muda wako pigana na wasiojulikana fanya kazi yako kwa umakin na kwa hekima maliza muda nenda kapumzike. Zipo vita utazianzisha ila mwisho wake utakuwa ni mbaya kuliko mwanzo.
 
Mwandishi siku hzi nikipindi kizuri cha kukurekebisha mana akili nahisi itakua imekukaa sawa, “kamwe usichukie walio na mitazamo tofauti na ww “
 
Back
Top Bottom