Poa poa nimekuelewa mkuu.mkuu it is just a figure of speech.
straight to the point.... Ni shingapi kujiunga na mchango wa mwanachama ni how much?
1. asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada zinazoonekana kujitoa huko. aamini kuajiriwa ni utumwa na binadamu hakuumbwa kuishi kwa kuajiriwa na imani hii isitokane na yeye kukosa ajira.
Safi sana mkuu hongera sana! Naomba kuuliza hizo investments zina returns kila mwezi sio au ni kila baada ya mda gani members wanapata returns za investment zao za laki kwa mwezi?Red Giant.
Mi naomba tusaidiane kwenye hilo maana naishi kigambo na nimeanzisha hii Welcome to :: KCD Group Limited toka mwez wa tano mwaka huu na sasa tuko takriban 40 na kila mwez tunatoa laki moja moja na tumeisha invest over 15m na targey yetu ni investment tu japo tunafungua recreation centre yetu as a meeting point. Na yeyote ni ruksa kujiunga pia
Red Giant.
Mi naomba tusaidiane kwenye hilo maana naishi kigambo na nimeanzisha hii www.kcd.co.tz toka mwez wa tano mwaka huu na sasa tuko takriban 40 na kila mwez tunatoa laki moja moja na tumeisha invest over 15m na targey yetu ni investment tu japo tunafungua recreation centre yetu as a meeting point. Na yeyote ni ruksa kujiunga pia
kwanini umefananisha na Wajenzi huru, je itikadi na dhana zitafanana? any way easy to enter ngumu kutoka think of it.