Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

Nawakaribisha kuunda secret society kama Freemasons

kwanini umefananisha na Wajenzi huru, je itikadi na dhana zitafanana? any way easy to enter ngumu kutoka think of it.
 
Bonge la idea sema sio rahisi ishike bila kuwa na wawezeshaji wenye hela na members wawe na one vision mission na purpose. Hivyo kabla ya yote ni ku establish very clearly hivyo vitu hapo. Nilishjaribu hii kitu na najipanga tena kuanZisha ila pia ikianzishwa na a noble vision and purpose najiunga
 
Hongera sana kwa hii idea na tunaomba utupe taratibu za kujiunga mbali na sifa ulizoainisha hapo juu. Mambo mengi yaliwezekana mara baada ya watu kuunganisha nguvu, na hii itatusaidia kushare na ku exchange knowledge and experinces zetu hasa katika swala zima la ujasiliamali. Mf kama mimi nauza kuku na wewe unahotel basi shart uniunge mkono n.k n.k
 
Ingekuwa vyema na sharti kama kwenye hio Whatsapp group watu wanaandika biashara Yao kwenye status na picha zao halisi. Mfano utinotino itakua na status ya shamba vitunguu, samaki etc na inakua sheria ya hii society kuwa mtu akitaka kununua kitu au kuuza priority ya kwanza ni kwa members of society
 
Red Giant.

Mi naomba tusaidiane kwenye hilo maana naishi kigambo na nimeanzisha hii www.kcd.co.tz toka mwez wa tano mwaka huu na sasa tuko takriban 40 na kila mwez tunatoa laki moja moja na tumeisha invest over 15m na targey yetu ni investment tu japo tunafungua recreation centre yetu as a meeting point. Na yeyote ni ruksa kujiunga pia
 
1. asiamini katika kuajiriwa na kama ameajiriwa awe anaonyesha jitihada zinazoonekana kujitoa huko. aamini kuajiriwa ni utumwa na binadamu hakuumbwa kuishi kwa kuajiriwa na imani hii isitokane na yeye kukosa ajira.

Nafikiri kipengele hiki kirekebishwe kwa kuwa kinaleta maswali pinzani.

Mf. Kama huamini kuajiriwa, maana yake utajiajiri, swali, je hutaajiri? Au kazi zote utafanya peke yako!? ...

Kuajiriwa si utumwa, ni ajira, ni kazi kama kazi zingine...

Mimi nafikiri labda ingesomeka namna hii - "... Awe na mawazo ya kujiajiri... Kutengeneza ajira... "
 
Red Giant.

Mi naomba tusaidiane kwenye hilo maana naishi kigambo na nimeanzisha hii Welcome to :: KCD Group Limited toka mwez wa tano mwaka huu na sasa tuko takriban 40 na kila mwez tunatoa laki moja moja na tumeisha invest over 15m na targey yetu ni investment tu japo tunafungua recreation centre yetu as a meeting point. Na yeyote ni ruksa kujiunga pia
Safi sana mkuu hongera sana! Naomba kuuliza hizo investments zina returns kila mwezi sio au ni kila baada ya mda gani members wanapata returns za investment zao za laki kwa mwezi?
 
Kwa sababu focus ni investment imetulazim tuwe na equal shares na hata kama leo mtu anajoin atalipa malimbikizo yote mpala hapo tulipofika, then tunasajiri saccos na limited company kwa ajiri ya biashara. Yes tutakuwa tunagawana ila kwa sasa bado ni mapema sana kuanza kugawana maana tunafikiria pia kutafuta maeneo makubwa kama shamna then tupime tuuze viwanja. Tumejiwekea malengo ya kuchanga kwa walau miaka miwili then baadae tutaacha kuchanga
 
Hiyo website tuliianza kama trial na kipindi hicho ndo tulikuatunaanza na ndo maana haiko sawa maana kila siku watu wanaongezeka ndo maana tunasubilia ili kuikamilisha
 
Red Giant.

Mi naomba tusaidiane kwenye hilo maana naishi kigambo na nimeanzisha hii www.kcd.co.tz toka mwez wa tano mwaka huu na sasa tuko takriban 40 na kila mwez tunatoa laki moja moja na tumeisha invest over 15m na targey yetu ni investment tu japo tunafungua recreation centre yetu as a meeting point. Na yeyote ni ruksa kujiunga pia

Hii sio secret society..hii ni business partnership...mnasukumwa na kutafuta hela,mkishapata hela then whaaat?mtaridhika na chama kitafufa!...mnaendeshwa na mihemuko ya hela,wrong motives.....motives ziwe beyond "hela"...freemansory ni fratenity,sio business partnership,na infact business prtnerships zinafunguliwa kwa jazba/mihemko ya njaa/kipato,na 100% yake hua zitakufa tuu njaa ikiisha.....

Fratenity zinaseek to unlock unlimited inner potential,na monetary wealth ni byproduct...wanaseek kucontrol the world,na money ni kasehem kdogo tu...ni kama dini vile,tena wanadai dini ni kitu kidogo compared to this...ni accult...na mara nyingi wanaoingia tayari wana mafanikio,wanatafuta self inner free being...hapa naona ni njaa tu ya vibiashara then hela ikipatikana chama kinakufa,sijaona purpose hasa
 
kwanini umefananisha na Wajenzi huru, je itikadi na dhana zitafanana? any way easy to enter ngumu kutoka think of it.

Mkuu naona motive ya huu uzi ni kuchangishana kama kajisaccos tu...hamna accult fratenity hapa...ni mihemko ya njaa ya kutafuta vipato!....hamna tofauti na michezo ya "vibati"...changa hiki,changa kile...sijaona concept ya dogma hapa...njaa kila mahali.
 
Back
Top Bottom