Muinjilisti
Senior Member
- Dec 20, 2010
- 105
- 53
Muinjilisti karibu kwenye secret society
Ha ha ha Money Stuna, ingekuwa Secret society isingeandikwa na members kukaribishwa kwenue uzi wa JF. Kundi linaitwa Pamoja brotherhood. Wakuu hiloneno la secret society lisiwatishe. Money stuna unakaribishwa
sasa group zinakua ngp? Maana nimepokea namba nyingi. Na papara sio nzuri. Group inaanza leo jioni kama kuna group tayari tujulishanë.
Mkuu, group ilishaanza. Niliku-PM nikakuuliza tunazicombine vipi namba ulizonazo na nilizonazo hukunijibu. Tayari nilikuwa nimeunda group na members wapo, ila hakuna kilichoharibika, kama umeamua group inaanza leo ninaweza kuku-PM namba za members wa huku kwangu ukawaadd na mimi nikaua group yangu tubaki na moja. Kusoma PM muhimu wakuu.
endeleza tu mkuu mafioso, hakuna mbaya.
Mnachotakiwa kufanya ni kuwaunganisha watu.. So mkuu its either namba zako uziallocate kwa mafiaso ama yeye akutumie alizonazo.. Tusianze kugawanyika mapema hivi
Ni kweli kabisa kaka. Mkuu mshinyanga, naomba unipe kibali nikupe namba nilizo nazo ili uzijumuishe kwako tuwe na group moja. Nasubiria jibu tafadhali...
niunganishe mkuu
mafioso ntajitahidi kukutumia namba nilizo nazo pamoja yangu. Kwa pm. Nipe muda mpaka kesho. Usihofu Kikubwa tukutane sehemu pamoja kwa lengo moja. Wadau wote namba zenu zitafanyiwa kazi.
Nimekupata mkuu mshinyanga na nimeshawadd. Naona umesahau kunipm namba yako.
mkuu niliatach na yang u. Nipo kundini.
Na me pia naomba niwe included mkuu
Ni-PM namba yako pls.
0769756779